Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

My watchlist kama ifuatavyo, Doom at your service, hospital playlist, imitation, nevertheless, train...

Nashusha penthouse s3 Ila Sina nguvu ya kuitanzama Kwa Sasa, Chicago typewriter kila niikitazama nastopisha kama chief Kim.

Loool nimepata uraibu mpyaaa king of mask singer wakorea wanaimba jaman...Basi nikiimaliza hizo dozi za mara Moja Kwa wiki nakaa hapo

Park Bo young kwenye doom anajua sanaaa
 
Nilishajaribu mara mbili nikala za uso. Mara ya kwanza kuiona hio menu nilijiona bonge la mjanja nikaisaka laini yangu part two kung'uta vumbi nikaijaza bando saa tano na dakika 59 usiku huo fasta nikajitumia night bundle bwana weee sms ikaja nimelamba kifurushi cha bila kikomo wacha nifurahie,kuvuta episode 6 napokea ujumbe wa kifurushi kukaribia kuisha sijakaa sawa naambiwa kifurushi kimeisha kumbe wajinga wale walinipa gb 5 tu kwa 1500 na sio unlimited.

Mara ya pili nikajipa moyo labda walinishtukia ngoja nitumiwe na mtu wa mbali yaan mikoa miwili toka nilipo. nikatumiwa bando la usiku. sms ikaja nina unlimited ila sababu nshakua mwenyeji(kwa maumivu ya kudanganywa unlimited kumbe sio)nikaangalia salio kwanza nikakuta gb 5 tu na sio unlimited.

#wavutadramatunateseka
#boraamshapopo

Kwa style ya halotel tunaibiwa sana ndugu zanguni
Mlinzi wa usiku nalitaja jina lako mara tatu kama sauti ya jogoo anapowika.
Halotel wameamua kujitekenya wenyewe baadae wanalazimisha kicheko.

Habari hii unayo (umeshaijaribu ili unipe mrejesho)?
kama habari hii hujaipata ,Je una mtu wako wa karibu mwenye line ya halotel?
kama huna basi nakushauri katafute line nyengine ya halotel.

  • *148*66#
  • bonyeza namba 2 (zawadi kwa rafiki)
  • bonyeza namba 3 (internet)
  • bonyeza namba 5 (usiku)
View attachment 1834414
  • utaambiwa uingize namba ya mpokeaji (hapo ndipo nilipofikia kwa sababu sina mtu anayetumia laini ya halotel)
kama ni kweli wameirudisha huduma ya unlimited kwa nyuma ya pazia basi niwape hongera (macho yangu hayaoni vizuri, hivi hapajaandikwa GB 5 hapo kwenye 1500)

ngoja nikanunue laini nyengine ya Halotel🚶‍♂️🚶‍♂️🧑‍🦯👨‍🦯🏃‍♂️
walevi wenzangu tumekumbukwa tena
nitawaletea mrejesho
😛😛😛😛
 
Chicago ni majanga mengine nami nilikua naiangalia hivyo hivyo haina amsha amsha story imepoa mno bahati mbaya nilikua nimeivuta yote na kuifuta bila kuiangalia hasara kubwa
My watchlist kama ifuatavyo, Doom at your service, hospital playlist, imitation, nevertheless, train...

Nashusha penthouse s3 Ila Sina nguvu ya kuitanzama Kwa Sasa, Chicago typewriter kila niikitazama nastopisha kama chief Kim.

Loool nimepata uraibu mpyaaa king of mask singer wakorea wanaimba jaman...Basi nikiimaliza hizo dozi za mara Moja Kwa wiki nakaa hapo

Park Bo young kwenye doom anajua sanaaa
 
Chicago ni majanga mengine nami nilikua naiangalia hivyo hivyo haina amsha amsha story imepoa mno bahati mbaya nilikua nimeivuta yote na kuifuta bila kuiangalia hasara kubwa
Hahaha yaan nimevuta tano Ila haziamshi
Watu wengi walirecomend wakat natizama Mr. Sunshine Ila imekuwa tofaut na expectation zangu.
 
Nilishajaribu mara mbili nikala za uso. Mara ya kwanza kuiona hio menu nilijiona bonge la mjanja nikaisaka laini yangu part two kung'uta vumbi nikaijaza bando saa tano na dakika 59 usiku huo fasta nikajitumia night bundle bwana weee sms ikaja nimelamba kifurushi cha bila kikomo wacha nifurahie,kuvuta episode 6 napokea ujumbe wa kifurushi kukaribia kuisha sijakaa sawa naambiwa kifurushi kimeisha kumbe wajinga wale walinipa gb 5 tu kwa 1500 na sio unlimited.

Mara ya pili nikajipa moyo labda walinishtukia ngoja nitumiwe na mtu wa mbali yaan mikoa miwili toka nilipo. nikatumiwa bando la usiku. sms ikaja nina unlimited ila sababu nshakua mwenyeji(kwa maumivu ya kudanganywa unlimited kumbe sio)nikaangalia salio kwanza nikakuta gb 5 tu na sio unlimited.

#wavutadramatunateseka
#boraamshapopo

Kwa style ya halotel tunaibiwa sana ndugu zanguni
Ohoo bora nimeiona hii repyl..hivi nilikuwa nataka ninunue vocha ya buku mbili nijiunge maana nnazo line mbili ingekula kwangu
 
Mwezi huu nimeshuka miaka ya huko

nipo ndani ya

1.Take care of us captain

2. Youth of May(nimeimaliza) 2021

3. Navillera 2021

4. The sweet blood(naona ya kitoto kufikirika ila nimeipenda) 2021

5.Second to last love

6. Gye baek

7. cantabile tommorow

Stock ya kutosha kufaidi usingizi kwa wiki kadhaa
 
Navillera nzuri sana
So inspiring yaani
 
Back
Top Bottom