DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
kwa wale munaotumia simu nahitaji msaada wenu wa haya yafuatayo:
Numbisa
talnam
missyrose
Great Conqueror
- software/application ya kuzuia (block) matangazo
- jinsi ya kupakuwa episode, nimejaribu tovuti ya @kissasian.sh sijaona kitufe cha kupakua (download)
Numbisa
talnam
missyrose
Great Conqueror