Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mimi mbona niliipakua kimoiHii nimeitafuta kimoi na nkiri sijaona..ntaipata wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mbona niliipakua kimoiHii nimeitafuta kimoi na nkiri sijaona..ntaipata wapi
HappinessHiyo drama inaitwaje?
Hii nimeitafuta kimoi na nkiri sijaona..ntaipata wapi
Hii nimeitafuta kimoi na nkiri sijaona..ntaipata wapi
Huyu kaka ni mzuri jamani ila kwenye happiness naona kama ali-gain weight kidogo au macho yanguNkiri ipo kwa picha hiiView attachment 2130520
Huyu kaka ni mzuri jamani ila kwenye happiness naona kama ali-gain weight kidogo au macho yangu
Mmmh wakorea sio wazembe kiasi hicho. Inawezekana nafasi aliyocheza ilimtaka afanye hivyoKwao matajiri kama alivyoigiza kwenye the heirs. Hivyo ile misosi misosi na burudani za kuact kesharidhika
Mr sunshine daah ile drama matukio yake hadi niliyaota. Ni drama moja ngumu niliyoshindwa kuifuta hadi nione mwisho wake
Hii nimeitafuta kimoi na nkiri sijaona..ntaipata wapi
"Huyu Kaka ni mzuri" hii sentensi yako nikumkosea heshima Huyo Jamaa pamoja na Wanaume woteHuyu kaka ni mzuri jamani ila kwenye happiness naona kama ali-gain weight kidogo au macho yangu
Samahani"Huyu Kaka ni mzuri" hii sentensi yako nikumkosea heshima Huyo Jamaa pamoja na Wanaume wote
Umefanya jambo la maana sana kuwa muungwanaSamahani
Nitajaribu tena..mwanzo ikanambia search not foundMimi mbona niliipakua kimoi
"Huyu Kaka ni mzuri" hii sentensi yako nikumkosea heshima Huyo Jamaa pamoja na Wanaume wote
Sema hayo maneno mbele ya Wanaume utaona reactionHuwa una kaubabe flan utadhani una mke humu. Huyo mkaka ni mzuri very handsome.
Sema hayo maneno mbele ya Wanaume utaona reaction
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa una kaubabe flan utadhani una mke humu. Huyo mkaka ni mzuri very handsome.
What's wrong with secretary KimNipeni hata dramas 3 romantic maana ubongo umestack