Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ndo umejua leo tag zako zinaboa. Halafu muheshimu dae yule ni maka mie ni mdada. Usimbadilishe jinsia kijana wa watu
Tag zangu zimeboaje wakati azikupunguzii hela wala chochote mtu anapoomba umsaidie ni suala la wewe kukubali au la mbona ninapoleta humu drama mbona ninakutag na ujawahi kulalamika
 
Inno ujumbe umekufikia. Na ukileta hizo drama usinitag kwanza mbovu

Usiseme ni mbovu huo utakuwa ni unafiki innocent defendant ni mbovu? Vagabond ni mbovu? Sema wewe una taste zako za drama wewe unapenda aina fulani za drama kama king Queen,The flower in prison tofauti yangu na yako unapenda comedy Sana mimi sipendi ila kuna some of dramas tunaenda sawa mfano hiyo The flower in prison, VIP, dangerous wife, K2
 
ee mbovu

Hata wewe ni bingwa wa kuziita drama usizozipenda mbovu bila kujali kuwa wenzio tunazipenda so vumilia na wewe ukiambiwa drama zako mbovu
 
Tatizo lako huwa unaona bila wewe tusingeifahamu innocent defendat,the veil and the co wakati watu walifahamu hata kabla hazijashutiwa kupitia spoilers kijana punguza kujiona special kwamba kila unachokishabikia basi na wengine lazima wakishabikie. Vagabond haukuirecommend humu kila mtu alikua anaisubiria kwa hamu amuone kangchii na suzy

Al-Hadidy,Franky Samuel,Kheri007,daemushin hawa ni baadhi ya waliotuletea connection mbali mbali humu na hawajawahi kutaka credit kwa nguvu ila wewe mtu akiisifia empress ki au innocent defendat unakurupuka huko na hati miliki zako za kubumba pheeew. Punguza ujuaji
Sawa ninaweza kusema hivyo nikiwa nina facts zakusema ni mbovu je wewe niambie vagabond ina ubovu upi ili niungane na nyinyi?
 
Pole mkuu hizi hasara nshazipata mara nyingi,nyingine ni ile unadownload drama yote halafu hata haieleweki nimefuta nyingi complete mfano artificial city,bulgasar etc
Mazee mkiwa mnadownload hz drama muwe mnachek ep moja moja, nimedownload drama yenye ep 20 na hakuna yenye subtitles hata moja
 
* The Good Detective

* Nobody Knows

* Tell Me What You Saw

* Mission Possible (movie)

* Beyond Evil

* The Goddess Of Revenge

* Stranger 2

* The Devil

* Nowhere to Hide (movie)

* Man on High Heels (movie)

* Gap Dong

* Cold Eyes (movie)

* Duel

* Tunnel

* Confidential Assignment (movie)

* Neighborhood Hero

* The Smile has Left Your Eyes

* Sketch

Kama hizo umekwisha zitizama sema nikupe zingine.
Ndugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu

✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanye supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani

Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k

Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri

Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax
 
* The Good Detective

* Nobody Knows

* Tell Me What You Saw

* Mission Possible (movie)

* Beyond Evil

* The Goddess Of Revenge

* Stranger 2

* The Devil

* Nowhere to Hide (movie)

* Man on High Heels (movie)

* Gap Dong

* Cold Eyes (movie)

* Duel

* Tunnel

* Confidential Assignment (movie)

* Neighborhood Hero

* The Smile has Left Your Eyes

* Sketch

Kama hizo umekwisha zitizama sema nikupe zingine.
Asante mwana Chelsea mwenzangu kwa baadhi ya drama ulizomention dah nimegundua una madini Sana baada ya kumention the goddess of revange hii drama ni konyo aisee watu wengi hawajagundua Hilo haina promo nafikiri asilimia kubwa ya wabongo hawajaicheki siku nilivyoicheki nakajiuliza nilikuwa wapi mpaka sikuiyona wee endelea kushusha vitu na mimi naendelea kuziweka kwenye diary zangu
 
Back
Top Bottom