Ndugu zangu naomba tusaidiane nahitaji korean drama Kali nicheki weekend Hii angalizo sipendi ziwe na hiv vitu
✓story za kitoto mfano unakuta mapenzi wameanzia watoto baadae wanakutana wakiwa wakubwa drama yenye story ya namna hii sitaki
✓Zenye genre ya fantasy tu sizitaki other genre yes
✓sipendi zenye maudhui ya comedy au main characters wawe Watu wa comedy au akili hamnazo napenda main characters wawe serious labda comedy wafanye supportive characters
✓Sipendi zenye ushoga
✓Sipendi pia zilizochezwa na teenagers hata ziwe nzuri kiasi gani
Nafikiri angalizo langu umeelewa maana kila mtu ana aina yake ya drama kutokana aina zangu za drama Ndio maana nikavutiwa na drama kama Watcher, K2, VIP,The empress ki, dangerous wife, innocent defendant, Vagabong, money flower, Woman of 9.9 billions, incarnation of money, Whisper, The last, three,hunter city, hidden identity n.k
Hapo mtakuwa mmenielewa haya naombeni mnishushia hizo drama Kali zenye storyline nzuri
Numbisa
missyrose
Daemushin
Mac Alpho
Franky Samuel
talnam
Lax