Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipewe list ya kdrama
Za ki highschool izi
Ishi vizuri na watu mjini kuna connection mbali mbali. Lugha kikwazo sio nipewe sema naomba. Anyway google ipo do some research
Nashukuru sana. Nimebadili usemi
Ipi ina action kati ya hizo?The Heirs
To the Beautiful You
True Beauty
Weightlifting Fairy Kim Bok Joo
High School Love On
Playful Kiss
Dream High
Sassy, Go Go
My ID is Gangnam Beauty
Heartstrings
Kuna zenye action hapo?My watchlist
Still 17
Legal high
Remember
When camelia blossoms
Devilish charm
Ghost doctor
A beautiful mind
Thirty nine
I wanna hear your song
Something in the rain
Red sleeve
She was pretty
Extraordinary attorney woo
Cheese in the trap
Don't dare to dream
True beauty
A gentleman's dignity
Forecasting love and weather
Kairos
Ipi ina action kati ya hizo?
Weightlifting ni ya chuo. Hiyo true beauty natamani niangalie ila sasa hivi drama za high school siangaliiThe Heirs
To the Beautiful You
True Beauty
Weightlifting Fairy Kim Bok Joo
High School Love On
Playful Kiss
Dream High
Sassy, Go Go
My ID is Gangnam Beauty
Heartstrings
Sijaziangalia bado kwa hiyo swali lako kwangu ni gumu kidogo. Ila kwa mujibu wa research ndogo niliyozifanyia hizo drama sidhani kama ipo, na kama ipo ni sehemu ndogoKuna zenye action hapo?
Weightlifting ni ya chuo. Hiyo true beauty natamani niangalie ila sasa hivi drama za high school siangalii
Mimi nadhani uzee unanisumbua[emoji16][emoji16]. Kingine huwa zile bullying zao zinanivuruga sanaooh nilisahau maana hata heartstrings ni ya chuo pia. Nazipenda zipo vizuri
Mimi nadhani uzee unanisumbua[emoji16][emoji16]. Kingine huwa zile bullying zao zinanivuruga sana
Nani anaicheki our blues?
Yani ukiangalia unapata sonono mana wanaonyesha jinsi gani wa mjini wanaovaa misuti mikubwa wana stress za kufa mtu alafu walio kijijini wana ela mana hawachagui kazi wanapiga zozote afu hawalipuki masuti wala nini!
Hii drama ina story ya tofauti na series nyingi za kikorea!
Woow,mi niko episode ya 4Nzuri sana
Nimeimaliza
Inahusiana na nini?Alchemy of souls 10 episodes now ni ya moto saanaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna mtu ttcl yake inafanya kazi?
Wasijekuwa ndio wanatuzimia kila asubuhiAsubuhi sana iligoma imezinduka kwenye saa nne