Warrior
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 737
- 765
Ina mambo flani hivi ya magic, action plus love story, visa kibao kwa upande wangu nimeilewaInahusiana na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina mambo flani hivi ya magic, action plus love story, visa kibao kwa upande wangu nimeilewaInahusiana na nini?
Wasijekuwa ndio wanatuzimia kila asubuhi
Screenwriter kafanya kazi kubwa sana humu karibu kila character kampa story yakeWoow,mi niko episode ya 4
Yani humu ni uhalisia wa maisha yetu kabisa,wale wenye madegree ndo wanahangaika na ajira na mishahara ambayo huwezì toboa ukawa tajiri!
Wale ambao hawajasoma ndo mabilionea yani na wamewapa ajira wasomi benki wawatunzie ela zao!
Alieandika hii story ningemjua ningemnunulia jagamasta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana aise,na hakuna character anaeboa!Screenwriter kafanya kazi kubwa sana humu karibu kila character kampa story yake
Imeshaisha au ni ongoingScreenwriter kafanya kazi kubwa sana humu karibu kila character kampa story yake
Inatosha kushusha drama au wametoa ofa ya kuperuzi tuHata mie niliwaza hivyo. Pia wamerudisha mtandao na ofa ya internet bure. Jaribu ushuhudie
Hata mie niliwaza hivyo. Pia wamerudisha mtandao na ofa ya internet bure. Jaribu ushuhudie
Inatosha kushusha drama au wametoa ofa ya kuperuzi tu
Daah mimi huku network ipo chini dadekiNimeshusha hadi drama episode za kutosha drama
Daah mimi huku network ipo chini dadeki
ImeishaImeshaisha au ni ongoing
Zicheki hiziNatafuta series kama Vagabond, Three Days, City Hunter and the likes...
Unazitafutia wapiNatafuta series kama Vagabond, Three Days, City Hunter and the likes...
1.Innocent defendantNatafuta series kama Vagabond, Three Days, City Hunter and the likes...
Hapo anamaanisha umtajie majina ya drama kama hizo alizomentionUnazitafutia wapi
ImeishaImeshaisha au ni ongoing
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshaimaliza, nimeona wanazengo wanaikandia balaa. Ukimaliza utajua kwa nini watu wana mihasirawoori the virgin
hutajutia muda wao au mb zako
Updates kama hujavuta vuta episode chache angalia kwanza. Maana niliangalia episode 2 nikaona ni firee ila jinsi episode zinavyoenda hata mie mwenyewe naishangaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshaimaliza, nimeona wanazengo wanaikandia balaa. Ukimaliza utajua kwa nini watu wana mihasira