Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Woow,mi niko episode ya 4
Yani humu ni uhalisia wa maisha yetu kabisa,wale wenye madegree ndo wanahangaika na ajira na mishahara ambayo huwezì toboa ukawa tajiri!
Wale ambao hawajasoma ndo mabilionea yani na wamewapa ajira wasomi benki wawatunzie ela zao!
Alieandika hii story ningemjua ningemnunulia jagamasta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenwriter kafanya kazi kubwa sana humu karibu kila character kampa story yake
 
Natafuta series kama Vagabond, Three Days, City Hunter and the likes...
Zicheki hizi

1. The last inahusiana na jamaa mmoja aliyekuwa muhasibu anasingiziwa ameiba hela za organization inapelekea jamaa kukimbia akitafutwa na mapolisi pamoja na matajiri walioweka mpunga hapo anajikuta anaanguka kiuchumi imagine ulikuwa unaishi maisha ya kifahari gafla unajikuta unaishi maisha ambayo ujawahi kuyaota wala kuyaishi .Humo ndani kuna mkono pamoja na matumizi ya akili ni bonge Moja la drama
2.innocent defendant - Hii ni Kali kuliko zote yaani kwangu ndio drama yangu Bora kuliko zote nilizowahi kuangalia ipo kama Prison break lakini ina story tofauti na Prison break ipo very unique na inamatukio ambayo hayataniriki kila episode inapoisha inakupa hamsa yakucheki next episode nayo ina ngumi pamoja na matumizi ya akili kwenye mikakati ni aina ya drama ambayo adui pia kapewa nguvu kubwa na mwandishi sawa na sterling tofauti na movie nyingi zilivyo ndio maana imeleta msisimuko
3.k2
4.whisper
 
woori the virgin

hutajutia muda wao au mb zako


Updates kama hujavuta vuta episode chache angalia kwanza. Maana niliangalia episode 2 nikaona ni firee ila jinsi episode zinavyoenda hata mie mwenyewe naishangaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshaimaliza, nimeona wanazengo wanaikandia balaa. Ukimaliza utajua kwa nini watu wana mihasira
 
Bado sijaimaliza,ilianza vizuri stori ya binti bikra(tena aliapa kanisani atajitunza mpaka aolewe)akajikuta ana mimba baada ya dokta kuchanganya madesa badala ya kukagua bikra akapandikiza mbegu,sasa wengi tulitarajia mwendelezo wa stori ila muandishi akachanganya madesa anayoyajua yeye mpaka ikachosha. Ngoja niende nayo mpaka mwisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshaimaliza, nimeona wanazengo wanaikandia balaa. Ukimaliza utajua kwa nini watu wana mihasira
 
Back
Top Bottom