Filming ya Part 2 ya
Alchemy of souls ipo tayar na ishakuwa confirmed lakini kunaweza kuwa na mabadiliko ya lead actress Jung So Min /Mu Deok anaweza kubadilishwa na kuwa Go Yoon Jung/Naksu(aliye fariki,na nafsi yake kuingia kwa kipofu Mu Deok)
Wengi wanaomalizia kuangalia Part 1 ya Alchemy of soul wanatabiri part 2 itakuwa ni kurudi/kufufuka kwa Naksu.....
Current watching
Alchemy of soul(6/20)
Big mouth( 2/16)
Adamas(bado sijaianza)
Joseon PSychiatry(bado sijaianza)
Good Detective S1
Yumi cells S1
Suggestion ya drama nzurii any genre,zitaje[emoji116][emoji116]
View attachment 2315732View attachment 2315736