mans mcgwa
Member
- Nov 22, 2021
- 14
- 11
War of life n kaliii usipime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongoing ikitokea kupendwa sana inaanza kusuasua kutolewa sijui shida huwa cast, director au writer anaanza mizinguo
Hivi hii drama ni ongoing?Alchemy of souls ep17 imeishia pazuri daaah
Writters na main characters, mara nyingi sana hutosha kukujulisha ubora wa kazi.Kweli
Kama ilivyokua Mouse,Mr Queen,Vicenzo
Lakin Hong sisters kwakweli kazi zao zimesimama.
Nikubuhu kutizama drama kupitia writers sasa[emoji3]
Wanatafuta attentionKweli
Kama ilivyokua Mouse,Mr Queen,Vicenzo
Lakin Hong sisters kwakweli kazi zao zimesimama.
Nikubuhu kutizama drama kupitia writers sasa[emoji3]
Hivi hii drama ni ongoing?
Yeah inaendelea haijafika mwishoHivi hii drama ni ongoing?
[emoji95][emoji95]Alchemy of souls ep17 imeishia pazuri daaah
Siwezi kuangalia mkorea aliyeingiziwa sauti...bora uniuweWakuu Penthouse kumbe ni Kali Hivi startime wameweka kwa lugha yetu tamu kabisa
Aiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.Wakuu Penthouse kumbe ni Kali Hivi startime wameweka kwa lugha yetu tamu kabisa
Inaitwaje hii dramaHaka kajamaa huwa kananifurahisha sana muonekano wake, ni kama vile sio mbegu ya korea kabisa.
Hii ni movie ya tatu nakaona[emoji1].View attachment 2332875
Inaitwaje hii dramaHaka kajamaa huwa kananifurahisha sana muonekano wake, ni kama vile sio mbegu ya korea kabisa.
Hii ni movie ya tatu nakaona[emoji1].View attachment 2332875
Haka kajamaa huwa kananifurahisha sana muonekano wake, ni kama vile sio mbegu ya korea kabisa.
Hii ni movie ya tatu nakaona[emoji1].View attachment 2332875
Siwezi kuangalia mkorea aliyeingiziwa sauti...bora uniuwe
[emoji16][emoji16][emoji16] tena hii penthouse na majina wameweka ya kiswahili ... Eti mkorea anaitwa Aisha mwehAiseeh hivi huwa mnaweza vipi kuangalia drama za mkorea zilizoingiziwa sauti za maneno ya kiswahili? Raha ya drama ni pamoja na yale matamshi ya lugha yao bwana.
Mfano hapa;
Yonga bhushasmika?.....(soma kwa lafudhi yao uone raha yake mkuu[emoji1])
Yeah anafaa sana upande wa adui, ni kama vile ambavyo Jang Hyuk hafai kabisa kucheza upande wa adui (kama kwenye Bloody heart), yeye acheze kama sterling tu.Halafu nyingi anapendeza akiwa upande wa adui
ALCHEMY OF SOULS dude limekaa vizuri sana, kwanza ni brain stroming na lina story nzuri sana.Inaitwaje hii drama