Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa utakapomaliza kupika ugali tafadhali niwekee mafunzo ya kuperuzi mtandaoni bila ya bando.
Nimekaaa paleee kiseke nasubiria darasa lako.
Nauziwa gb 1 kwa buku 2
Nenda playstore download ha tunnel plus kisha nenda telegram search group linaitwa somo letu(au latestmovie255)utakuta kaweka files za ha tunnel zina jina HAT download litakuja moja kwa moja kwenye app ya ha tunnel. kisha subiria asubuh saa kumi na mbili,salio nunua kwa tpesa sh 10(shilingi kumi au 20) itabust file washa data ,halafu connect ha tunnel kula mseleleko
- T pesa ndio mtandao gani?
- Hiyo huduma inapatikana asubuhi tu?
Ukitaka amsha amsha icheki big mouth nailivyo unapozidi kwenda mbele na utamu unazidi kuongezekaHii ADAMAS mbona kama haina amsha-amsha kabisa, au kwasababu bado nipo episode ya kwanza?
BIG MOUTH ipo vizuri, nimeshaiangalia hapa nasuburi muendelezo wake. Nimeianza ADAMAS ila ndohivyo ni kama imepoa hivi.Ukitaka amsha amsha icheki big mouth nailivyo unapozidi kwenda mbele na utamu unazidi kuongezeka
Cheki hizi mbili kama unaona adamas haina amsha amsha whisper na watcher ila anza na whisper ina story nzuri SanaBIG MOUTH ipo vizuri, nimeshaiangalia hapa nasuburi muendelezo wake. Nimeianza ADAMAS ila ndohivyo ni kama imepoa hivi.
Wakuu kwema???
mwenye kuikumbuka hii series tafadhali naomba msaada wa jina lake, kuna series moja zile battle za wakorea dhidi ya uvamizi wa wajapan, wale wakorea (kama sio wachina maana sikumbuki vizuri) walikuwa kati ya sita au nane hivi na kila mmoja ana uwezo wake wa pekee tofauti na wengine, kuna mwamba mmoja alikuwa na nguvu sana kiasi anaweza kukupiga ngumi tumboni ukatoboka, katika wale wavamizi (wajapan kulikuwa na dem mmoja ana machale sana na anapiga mkono balaa, mwishoni nakumbuka kama walijilipua na mabomu kwenye ile kambi ya wajapani.
Natanguliza shukrani!!
TTCL PESA
- T pesa ndio mtandao gani?
- Hiyo huduma inapatikana asubuhi tu?
Hapa nilipo najiuliiza kama ni MR SUNSHINE au ni drama nyingine. Ngoja wataalamu waje watakujuza zaidi
Mac Alpho ngoja nikupe short story ya hiyo drama ya "Whisper" kuna jamaa ni judge anajukikana kama ni judge ambaye anatoa hukumu kwa haki ndio anatakiwa kutoa hukumu ya kesi ya baba mmoja na inaonesha kabisa huyo baba ni hana hatia na judge anajua hivyo bahati mbaya wakubwa wake wa huyo judge wanataka huyo baba hakumiwe ili kulinda issue zao na jamaa anaamua kufuata matakwa ya wakubwa maana wao ndio wamemuweka hapo halipo.Baada ya yule Judge kutoa hukumu ya kifungo kwa yule baba ambaye hana hatia binti yake ilimuuma Sana na akataka alipize kisasi na afanye namna yote kutafuta ushahidi utakaoridhisha utakaomsaidia kuthibitisha kuwa baba yako kuwa hana kosa anachoamua kumtumia yule judge kama ngao yakufanya mambo yake kwa namna gani? Yule judge alivolewa chakali akampeleka hoteli akajifanya kama anafanya nae mapenzi huku akirecord judge alivyoamka baada hangover kuisha yule binti akamwambia nina video yako ili nisiirushe ni lazima ufate mikakati yangu kuwaadhibu wakubwa wake na kumbuka jamaa anawatumikia wakubwa wake.
Unadhani jamaa( judge) atafanyaje je akae side ya yule binti au ya wakubwa wake ambao ndio waliomtoa kwenye umasikini? Hapa ndio ukali wa story unapoanzia
Numbisa
Daemushin
talnam
Hii ADAMAS mbona kama haina amsha-amsha kabisa, au kwasababu bado nipo episode ya kwanza?
Vip umeikubali au sio aina yako ya drama?[emoji2][emoji2]
Sio kwa ulivyosimulia
Haya maandishi yote jamani...
Vip umeikubali au sio aina yako ya drama?
Kuna Alchemy of souls halafu kuna ile attorney woo na big mouth... unaweza kujikuta unaacha drama yako unayoangalia ukazirukia manake sio kwa sifa hiziHakuna kama alchemy..... na ukitumia netflix kwenye smart TV unaenjoy mpaka basi. Waiting for episode 20 usiku
Edit:mzigo kwa hewa
Acha tu... story moja tamu sanaKuna Alchemy of souls halafu kuna ile attorney woo na big mouth... unaweza kujikuta unaacha drama yako unayoangalia ukazirukia manake sio kwa sifa hizi