talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana..
Son of Netflix hawezi kustaafishwa kirahisi namna hiyo
Yani katoboa kirahisi mwenyew kwa Netflix
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana..
Son of Netflix hawezi kustaafishwa kirahisi namna hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani wale jamani walikuwa wamefanya kama chakula. Nilikuwa namuonea huruma sana yule dada japo nilijaribu kuvaa viatu vyake nikamuelewa vizuri [emoji16][emoji16]
Hivi yule wa kwanza alikuwa lecturer eeh? Hivi wewe hukumuona alivyokuwa kwenye dilemma? Alikuwa anatamani sana kumuacha yule Playboy kwa sababu hakuwa hata na malengo naye ila alikuwa anashindwa. Imagine mtu unampenda, hataki kufanya mahusiano rasmi ila anataka kukukula tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] Nimecheka
Sa ulikua unamuonea huruma nini na mwenye ana jini mahaba
We kwa tukio alopigwa na lecture angetulia
Potato boy alimfaa sana ila akamwelewa player bado
Big mouth nimeshaimaliza na nimeipitisha ndio drama yangu Bora ya mwaka huu na nilichopendea pia mwisho wake umeisha vizuriNashukuru nilidownload BIG MOUTH episode zote Jana nilitaka nianze episode 1 Kisha nilale nimejikuta nalala saa 8 nimeangalia episode 5 mpaka kesho nimemaliza , wakorea ni moto Hawa jamaa hawaishiwi story
We naeBig mouth nimeshaimaliza na nimeipitisha ndio drama yangu Bora ya mwaka huu na nilichopendea pia mwisho wake umeisha vizuri
Nakazia wakuuWakuu habar zenu
Samahani chimbo gan naweza kupata hizi series za kikorea (CDs) kwa hapa dar....
Sio hizi zilizo tafsiriwa na wajanja wa town
Nataka zile original zenyewe
Natanguliza shukrani
Kwa nini CDs na sio njia nyingineNakazia wakuu
Mbona Kuna channel zipo huko hewani tena ni za bure kabisaKwa nini CDs na sio njia nyingine
We nae
Mbona Kuna channel zipo huko hewani tena ni za bure kabisa
Ni lazima uzipate zikiwa kwenye CD's? If not, unaweza kuzichukua kwenye platform mbalimbali zikiwa hazijatafsiriwa& HD kisha ukazihamishia kwenye CD(ikiwa ni lazima ziwe kwenye CD'S).Wakuu habar zenu
Samahani chimbo gan naweza kupata hizi series za kikorea (CDs) kwa hapa dar....
Sio hizi zilizo tafsiriwa na wajanja wa town
Nataka zile original zenyewe
Natanguliza shukrani
Mshaanza😂😂😂😂😂😂😂
Kwani kuna ubaya?We nae
Usiwe na kiherehere cha kutangaza drama imeishaje wakati wenzio hatujaangaliaKwani kuna ubaya?
Usiwe na kiherehere cha kutangaza drama imeishaje wakati wenzio hatujaangalia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi alishasema eeh?Inno hiyo ni drama yake ya ngap kusema bora kwa mwaka[emoji23] Bila mwaka kuisha
Jivutie utizame tu kwa upole
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi alishasema eeh?
Mbona hapa kapungua sana, ule mwili alicheza nao kwenye THE VEIL ulienda wapi?[emoji1]Namgoong Min is going to marry his model girlfriend Jin Ah Reum on October 7.
Congratulations
View attachment 2370254