Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Heee jamani tukimbilie wapi sasa. Ngoja nikomae na akiba yangu.
Ungekuwa mwanza ningekupa password ya Hotel moja maarufu ipo katikati ya jiji, ukifika pale kuna WiFi ina kasi ambayo sijawahi fikiria unasimama tu pale pembeni kitu kinasoma unashisha episode hata 30 (unavyotaka) kisha unaendelea na mishe zako.

Mimi kila nikienda town naegesha tu gari kwa nje( parking) nashisha epsode za week nzima halafu napotea[emoji23].

Password nilipewa na rafiki yangu mmoja mmoja ni staff pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa napita huko mara nyingi ngoja nizame PM

Nakumbuka enzi zangu nasoma. Pale Chuo fulani Kiko mkabala na. NSSF lile jengo lao maarufu sana la zamani.

Sasa pale kulikuwa na wizara ya kazi imepanga pale

Enzi hizo nikiwa na PC yangu mpya kabisa.

Basi password ya WIFI ya Ile wizara wanafunzi wa Kila Chuo tulikuwa tunaijua.

Kazi yetu ilikuwa kukaa kwenye bustani za Chuo na kuperuzi site za porn kwa WiFi ya wizara[emoji1787][emoji1787]
 
Mitaa hiyo huwa kuna WiFi nyingi za bure, sijui kwanini huwa hawajali tu.
 
Ule wimbo unasikika mwishoni kabisa kwenye episodes nyingi katika drama ya Alchemy of souls naupata vip wakuu?
Sikumbuki ending song ila jaribu hizo
Screenshot_20221018-160145.jpg
 
Huu ujanja wa daily niufate PM ee? Maana nimejaribu nimeshindwa
Ni kweli siku hizi ipo tofauti kama mwanzo ilivyokuwa ukinunua muda wa maongezi sh1 unatumia kuboost hata siku 2,siku hizi ipo tofauti nunua hata sh2 then connect.

Zaidi ya hapo ikiconnect inakuwa inaingia social networks tu Facebook na Telegram

So shida ni kwenye salio la kuboost ndio itakuwa inasababisha
 
Shukrani sana

Nimekuwa mfuatiliaji wa korean drama enzi na enzi toka kipindi iko hawa watu wananivutia sana wapo seriours na kazi toka enzi hizo za kina

jumong
Slave hunter
Yi san {wind of palace}
JOOn wo Chi
Emperor of the sea
3Days
Emperor Ki
Warrior baek dong-soo
Bichunmoo
Queen seondeok
Gu family book
Bridal mask
moon lover
The night of witchman

na nyingine kali za kipindi iko mpaka hii leo 2022 nimeangalia filamu mingi sana za korea kuna filamu kali kama

innocent defendant
secret
The lover
IRS
king's affection
Arthdal Chronicles
Alchemy of souls
Ghost doctor
Pachinko
Mr Qeen
Mouse
The last empress
money heist
Sqeed game
tomorrow
the sound of magic
all of us are dead
the gurdian
Mingi sana nyingine nmesahau but tafuta filamu hizo utajua hawa watu wanajua sana
 
Mkuu ndio umeuona uzi leo? Karibu kijiweni
 
Back
Top Bottom