Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ungekuwa mwanza ningekupa password ya Hotel moja maarufu ipo katikati ya jiji, ukifika pale kuna WiFi ina kasi ambayo sijawahi fikiria unasimama tu pale pembeni kitu kinasoma unashisha episode hata 30 (unavyotaka) kisha unaendelea na mishe zako.Heee jamani tukimbilie wapi sasa. Ngoja nikomae na akiba yangu.
Mimi kila nikienda town naegesha tu gari kwa nje( parking) nashisha epsode za week nzima halafu napotea[emoji23].
Password nilipewa na rafiki yangu mmoja mmoja ni staff pale.
Sent using Jamii Forums mobile app