Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mpaka sasa sijapata mpinzani wa SIX FLYING DRAGON
Ngoja nikuambie wakorea hawakosei kabisa.

Unaweza ukadhani hio ndio Kali kuliko zingine sababu hujapata muda wa kuzitazama kwa ukaribu zingine.

Kwa kweli wewe ni Fan mzuri wa Kdrama basi zicheki drama. Zingine

Mfano baada ya six flying dragons check ya King of tears:Lee bang won halafu tafakari
 
Aisee kuna lidubwana nimelicheki hivi karibuni la kikorea linaitwa KUNDO ni balaa sana hili na ndio filamu ya kwanza ya wakorea naiona sterring ana sura ngumu ni bonge la filamu na epsode zake chache tu linaisha unatamani ingeendelea hivi.
 
Ungekuwa mwanza ningekupa password ya Hotel moja maarufu ipo katikati ya jiji, ukifika pale kuna WiFi ina kasi ambayo sijawahi fikiria unasimama tu pale pembeni kitu kinasoma unashisha episode hata 30 (unavyotaka) kisha unaendelea na mishe zako.

Mimi kila nikienda town naegesha tu gari kwa nje( parking) nashisha epsode za week nzima halafu napotea[emoji23].

Password nilipewa na rafiki yangu mmoja mmoja ni staff pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipo Nipo Mwanza unaweza nisaidia Nywila Pm nikashushe mzigo
 
Aisee kuna lidubwana nimelicheki hivi karibuni la kikorea linaitwa KUNDO ni balaa sana hili na ndio filamu ya kwanza ya wakorea naiona sterring ana sura ngumu ni bonge la filamu na epsode zake chache tu linaisha unatamani ingeendelea hivi.
Mimi nikicheki kava katokea mtu haeleweki sikufuatilia kabisa..
 
Back
Top Bottom