Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah maisha ya mseleleko yamekuwa magumu sana
Seoulmates tunaendelea na maombolezo ya roho za watu zilizopotea hapo jana
#PrayForItaewon View attachment 2402122
Dah maisha ya mseleleko yamekuwa magumu sana
Sanaa
Nilijichanganya nika update Dah
Kwenye sherehe za Halloween jana Seoul zaidi ya watu 140 wamekufa kwa cardiac arrest na kukosa pumzi kutokana na msongamano katika mitaa ya Itaewon na inasemekana kulikuwa na watu zaidi ya laki moja,ni halali aiseeNimepitwa na hii kulitokea nini?japo google ipo tupe tu habari
Hmmmh hiyo stuation omba isikukute au ikikukuta basi uwe na namna ya kuukataa msongamano kwa haraka ili ufike sehemu yenye hewa.Kwenye sherehe za Halloween jana Seoul zaidi ya watu 140 wamekufa kwa cardiac arrest na kukosa pumzi kutokana na msongamano katika mitaa ya Itaewon na inasemekana kulikuwa na watu zaidi ya laki moja,ni halali aisee
Pia wengine zaidi ya 150 wapo chini ya uangalizi maalum.
Next week nitakuwa Dodoma- ILAZO, njoo ucopy maana haziko kwenye mfumo wa CD.Kwenye sherehe za Halloween jana Seoul zaidi ya watu 140 wamekufa kwa cardiac arrest na kukosa pumzi kutokana na msongamano katika mitaa ya Itaewon na inasemekana kulikuwa na watu zaidi ya laki moja,ni halali aisee
Pia wengine zaidi ya 150 wapo chini ya uangalizi maalum.
Mbona ingawa tena [emoji16][emoji16][emoji16]Nani kaicheki series Inaitwa business Proposal. Ipo vizuri Ingawa mni ya drama na mapenzi
We bwana kuna kitu ambacho hutuambii [emoji16][emoji16][emoji16] haiwezekani wenzio tunalia we upo tu unachekaMseleleko wa asubuhi utabaki kileleni.
Hapa kwenye tarehe 10's nilirestore simu.View attachment 2402118
Tumieni ha tunnel hiyohiyo ila siku hizi hakikisha unaweka hata shilingi 5 ya kuboostWe bwana kuna kitu ambacho hutuambii [emoji16][emoji16][emoji16] haiwezekani wenzio tunalia we upo tu unacheka
Nimefanya hivyo hamna kitu bwana tabu iko palepale haiconnect wala niniTumieni ha tunnel hiyohiyo ila siku hizi hakikisha unaweka hata shilingi 5 ya kuboost
Kwenye sherehe za Halloween jana Seoul zaidi ya watu 140 wamekufa kwa cardiac arrest na kukosa pumzi kutokana na msongamano katika mitaa ya Itaewon na inasemekana kulikuwa na watu zaidi ya laki moja,ni halali aisee
Pia wengine zaidi ya 150 wapo chini ya uangalizi maalum.
Shukrani sana![]()
My Love From the Star at Dramanice
Do Min Joon is an alien who landed on Earth 400 years ago during the Joseon Dynasty period. He possesses a near perfect appearance and enhanced physical abilities involving his vision, hearing and speed. Later, he discovers that he has three months l ... at Dramanicedramanice.ac
Wakuu mwenye kujua hii Movie ya KUNDO inapopatikana naomba aniwekee link hapa. Maana nimeona imesifiwa na watu wenye taste kama yangu.
Natanguliza shukurani