Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii ni weka mbali na watoto na ni ndefu sana alafu episode zote za moto. Ilikuwa inanifanya nilale saa kumi na nikienda kazini kila wakati ni kunywa kahawa tu.
Yah haipoi ,halafu wakali ninaowajua wa muvi za pori za kihistoria wengi wapo mule .Wahusika wa King Gwangaeto ndio wamesheheni sana.
 
Hii picha nimeshangaa kukuta mkao makuu ya Gugryo ni Pyongyang wakati nimezoea capital kukuta ni 'Gugnaseon' hii imekaa vipi mtaalamu Daemushin ?
sina uelewa wa kihistoria juu ya hayo mabadiliko ya royal palace.
naweza kuyanasibihisha mabadiliko mfano wa hayo na swala zima la usalama wa kijografia.
pia fahamu ilipita takribani miaka 300 ya kiutawala kutoka mfalme gwanggaeto mpaka mfalme bojang wa goguryeo, bila ya shaka yanaweza kufanyika mabadiliko ya majina ya mitaa, miji au mikoa kwa kipindi hicho.
mfano mji wa seoul umepitia mabadiliko ya majina tofauti kwa kutegemea na tawala husika.

wiryeseong chini baekje dynasty
hanyang chini ya joseon dynasty
Gyeongseong chini ya ukoloni wa Japan

hata kwetu tanzania tumehamishia ikulu kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma.
 
Nipo nayo sambamba, wakat wana mreveal prince gyesoung nikaona Netflix wanapenda sana huu mrengo lakini angalau haijawa deep au sijui ndo nishaanza kuzoea
binafsi nilishituka nilipouona muonekano wake wa kike....
kwa bahati mwishoni mwa episode 3 wakatuangushia ujumbe mahususi kwa jamii kuwaheshimu watu wenye mtazamo tofauti na ule uliozoeleka.
nikashusha pumzi, nikajua hii stori haitoelekea tena katika muelekeo huu nilioudhania

itakuja siku au kipindi wale wote wenye matarajio, mtazamo tofauti na ule uliozoeleka hawatohitaji kujificha tena

hapa walilengwa zaidi jamii ya LGBT ndani ya korea kusini na kwengineko
 
Prince muan na somo la mahusiano na vituko vya kuwaongoza wenzie kutoroka mjengoni(jamaa anafurahisha ana hamu sana muda ufike aoe akafaidi maisha na mkewe nje ya mjengo.
prince muan anatuwakilisha vijana wa ovyo wanaokula na kuvaa bure kwa msaada wa wazee.
muda wote tunawaza tendo la ndoa na starehe nyenginezo
 
ni bora tumpe kifungo cha roho mbaya, asitumie neno shukrani ndani ya thread hiii mpaka pale GB 1 itakapouzwa kwa shilingi 100.
shukrani yake tutainasibihisha na shukrani ya punda milia

Kabisa
Mimi naona anakuja kutuchunga na kitonga

Mi navunja line
Hivi uko upande wa bahari bado inendelea?
Kudownload ep 1 kwa siku tena huku umeshikilia simu ni mtihani
 
binafsi nilishituka nilipouona muonekano wake wa kike....
kwa bahati mwishoni mwa episode 3 wakatuangushia ujumbe mahususi kwa jamii kuwaheshimu watu wenye mtazamo tofauti na ule uliozoeleka.
nikashusha pumzi, nikajua hii stori haitoelekea tena katika muelekeo huu nilioudhania

itakuja siku au kipindi wale wote wenye matarajio, mtazamo tofauti na ule uliozoeleka hawatohitaji kujificha tena

hapa walilengwa zaidi jamii ya LGBT ndani ya korea kusini na kwengineko

Eeh ila bado hawafanyi kama wazungu kutulazimisha sana, wanataka tuelewe wapo watu wa namna hiyo
 
Niko na beyond evil
Best drama ila ilinishinda kwa sababu ya muigizaji mkuu.
Ipo siku nitairejea tena.

Popote ninapomuona amejawa na makasiriko kana kwamba kapokonywa hawara.

Anaitwa shin ha kyun
1667568285423.png
 
Best drama ila ilinishinda kwa sababu ya muigizaji mkuu.
Ipo siku nitairejea tena.

Popote ninapomuona amejawa na makasiriko kana kwamba kapokonywa hawara.

Anaitwa shin ha kyun
View attachment 2406713

Ujue ni kama inataka kunishinda
Nakumbuka ilikua na hype kubwa niliacha kuitazama sababu nilichek flower of evil, ikawa inasemwa zinafanana.

Sasa natafuta ule ubest ep ya 5 hapa ila dah
 
yule binti aliyekutana naye pharmacy ni mtoto wa waziri wa ulinzi.

Kitakachofuata ni kufunga ndoa ya kisiasa, kumbuka baba yake ni pro queen dowager.

Kivyovyote itamlazimu malikia aunganishe nguvu na bwana waziri ili waweze kumsambaratisha chief councillor pamoja na queen dowager

Yule QD anahitaji kabisa timu ua mashambuliz duh kaiweza roho ngumu...
Sema uyo binti na mkwewe itakua balaa maana yupo kama mtoto wa uswahilin kwa mdomo
 
Back
Top Bottom