talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] ahsante kwa kutusemea sisi penda penda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] ahsante kwa kutusemea sisi penda penda
1.ArthdalHahahahaahaaaa
Wewe ndio miongoni mwa wale wanaosikia tangazo muhimu ila wakaamua kujitia upofu wa makusudi.
Huenda ni utapeli
Huenda tangazo la utani
Huenda mgonjwa yuwaendelea vyema.
Huenda
Huenda
Hatimaye mgonjwa anakufa
Muda wa kuomba ajira unakwisha
Muda wa kuonana na mama samia mkizimkazi unakupita.
Una mambo mengi kama kitunguu thoumu.
Dawa ya meno wewe
Dawa ya nguvu za kiume wewe
Upishi wa pilau wewe
Upishi wa mchuzi wewe
Haya weka top 10 ya drama zako ulizoangalia tokea uwe mfuasi wa korea drama
Na Vagabond kamaliza[emoji1787]INNO kwenye upande wa korea drama hana utofauti na roboti
- Empress ki
- Innocent defender
- Muhasibu anayefanya kazi na wahuni
- Whisper
- Madirector wanamuangusha ha ji won
1.Arthdal
2. World of married couples
3 Sky castle
4. Dae Jang geum
5. Liberation notes
6. Faith
7. Yumi s01
8. Moneyflower
9. Extraordinary Attorney Woo
10. Nam goo min zote kasoro chef Kim, janghyuk zote kasoro Ile yupo kwenye wheelchair na bae wangu nimemsahau yule mcute zote (sijui kwanini jina limenitoka) Khantwe nikumbushe[emoji3]
Alafu za Jtbc nyingi Huwa nazipenda zile zinazungumziaga struggle za maisha.
Hapo vipo Harabujii
hatari sana brooMpaka sasa sijapata mpinzani wa SIX FLYING DRAGON
Waja na maturubali pamoja na mabusati haliyakuwa msiba umeshakwisha.1.Arthdal
2. World of married couples
3 Sky castle
4. Dae Jang geum
5. Liberation notes
6. Faith
7. Yumi s01
8. Moneyflower
9. Extraordinary Attorney Woo
10. Nam goo min zote kasoro chef Kim, janghyuk zote kasoro Ile yupo kwenye wheelchair na bae wangu nimemsahau yule mcute zote (sijui kwanini jina limenitoka) Khantwe nikumbushe[emoji3]
Alafu za Jtbc nyingi Huwa nazipenda zile zinazungumziaga struggle za maisha.
Hapo vipo Harabujii
Empress ki hatari sana hii DramaINNO kwenye upande wa korea drama hana utofauti na roboti
- Empress ki
- Innocent defender
- Muhasibu anayefanya kazi na wahuni
- Whisper
- Madirector wanamuangusha ha ji won
Nani kaona hii Emergency Love (crash landing for you). yoon seri na captain RiView attachment 2422143
Kwahiyo walioana kabisa, Je mahusiano yao ni matokeo ya hii project au walidate hata kabla ya hii project?Mmh mkuu hadi harusi yao ya ukweli ukweli tumeshahudhulia na pilau tumeifinya. Tunakaribia kualikwa babyshower soon ya katoto ka kiume
Kwahiyo walioana kabisa, Je mahusiano yao ni matokeo ya hii project au walidate hata kabla ya hii project?
Waja na maturubali pamoja na mabusati haliyakuwa msiba umeshakwisha.
Mabusati yako yapeleleke bukoba, nasikia bado msiba wa mkoa unaendelea.
Bae wako anaitwa Kim seon ho Daemushin1.Arthdal
2. World of married couples
3 Sky castle
4. Dae Jang geum
5. Liberation notes
6. Faith
7. Yumi s01
8. Moneyflower
9. Extraordinary Attorney Woo
10. Nam goo min zote kasoro chef Kim, janghyuk zote kasoro Ile yupo kwenye wheelchair na bae wangu nimemsahau yule mcute zote (sijui kwanini jina limenitoka) Khantwe nikumbushe[emoji3]
Alafu za Jtbc nyingi Huwa nazipenda zile zinazungumziaga struggle za maisha.
Hapo vipo Harabujii
Emergency love ni jina jingine au ni jina la Dj Afro?Nani kaona hii Emergency Love (crash landing for you). yoon seri na captain RiView attachment 2422143
Ipi?Oiii bonge moja la dramaa....hili so poah!!
yote majina yake hyo movieEmergency love ni jina jingine au ni jina la Dj Afro?
hii project itakuwa ilichochea kweli maana ilikuwa hot na waliendana sana.Mmh mkuu hadi harusi yao ya ukweli ukweli tumeshahudhulia na pilau tumeifinya. Tunakaribia kualikwa babyshower soon ya katoto ka kiume