Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahaahaaaa

Wewe ndio miongoni mwa wale wanaosikia tangazo muhimu ila wakaamua kujitia upofu wa makusudi.

Huenda ni utapeli
Huenda tangazo la utani
Huenda mgonjwa yuwaendelea vyema.
Huenda
Huenda

Hatimaye mgonjwa anakufa
Muda wa kuomba ajira unakwisha
Muda wa kuonana na mama samia mkizimkazi unakupita.

Una mambo mengi kama kitunguu thoumu.
Dawa ya meno wewe
Dawa ya nguvu za kiume wewe
Upishi wa pilau wewe
Upishi wa mchuzi wewe

Haya weka top 10 ya drama zako ulizoangalia tokea uwe mfuasi wa korea drama
1.Arthdal
2. World of married couples
3 Sky castle
4. Dae Jang geum
5. Liberation notes
6. Faith
7. Yumi s01
8. Moneyflower
9. Extraordinary Attorney Woo
10. Nam goo min zote kasoro chef Kim, janghyuk zote kasoro Ile yupo kwenye wheelchair na bae wangu nimemsahau yule mcute zote (sijui kwanini jina limenitoka) Khantwe nikumbushe[emoji3]

Alafu za Jtbc nyingi Huwa nazipenda zile zinazungumziaga struggle za maisha.

Hapo vipo Harabujii
 
Mr Sunshine, Mouse na Hospital playlist
 
Waja na maturubali pamoja na mabusati haliyakuwa msiba umeshakwisha.

Mabusati yako yapeleleke bukoba, nasikia bado msiba wa mkoa unaendelea.
 
Nani kaona hii Emergency Love (crash landing for you). yoon seri na captain Ri
Screenshot_2022-11-20-15-02-39-1.jpg
 
1.Arthdal
2. World of married couples
3 Sky castle
4. Dae Jang geum
5. Liberation notes
6. Faith
7. Yumi s01
8. Moneyflower
9. Extraordinary Attorney Woo
10. Nam goo min zote kasoro chef Kim, janghyuk zote kasoro Ile yupo kwenye wheelchair na bae wangu nimemsahau yule mcute zote (sijui kwanini jina limenitoka) Khantwe nikumbushe[emoji3]

Alafu za Jtbc nyingi Huwa nazipenda zile zinazungumziaga struggle za maisha.

Hapo vipo Harabujii
Bae wako anaitwa Kim seon ho Daemushin
 
Back
Top Bottom