Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

cheer-up-korean-drama-200x300.jpg
racket-boys-k-drama2-213x300.jpeg
 
Tokea nianze kuangalia na kufuatilia sanaa ya wakorea hususani upande wa tamthilia kwa miaka 11.

nashawishika kukiri ya kwamba sijapata kushuhudia uhusika wa muigizaji msaidizi ulioshiba na kujitosheleza kuzidi uhusika wa MI SHIL ndani ya queen seondeok drama.

Nimefika episodes ya 20 ya hii drama.
Nimeandika komenti hii nikiwa:-

sijalewa,
Zeco hawajakata umeme kwamba nimeandika gizani,
Sijavuta bangi,
Sijanywa sumu,
Sijavaa fulana ya chama dola,
Sijatekwa,
sijalala kwa hamida.
sijanywa mirinda nyeusi,
Sijaandaa kamba ya katani kwa kujinyongea,

Kudos kwa muandishi, kudos kwa director, kudos kwa makeup artist aliyehusika na upambaji wa mwanadada Go Hyung Jung, bila ya kusahau heshima iendelee kumfikia mtaalamu wa mavazi.

Huyu dada ameigiza ikiwa amerelax, mpaka nimefikia kujiuliza huyu mjinga anaigiza au ni uhalisia?

Ni haki yake kushinda tuzo ya grand prize, amemfundisha jinsi ya kuigiza mwanadada lee yo won

1669995962965.png
 
Sana jamaa ipo romantic mno. kwenye queen umbrella akapewa watoto wawili chap chap😂😂😂😂😂. Kinachoniuma ni south korea kufuzu hatua ya mtoano world cup daah episode 13 bye bye mpaka Christmas hapo😂😂😂😂😂
Racket boys [emoji1474]

Anhaa hii cheer up episode ya 12 itakuwa imekukuna sana

Bae in hyuk ni mnoma [emoji23]
 
Sana jamaa ipo romantic mno. kwenye queen umbrella akapewa watoto wawili chap chap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kinachoniuma ni south korea kufuzu hatua ya mtoano world cup daah episode 13 bye bye mpaka Christmas hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anayaweza kwakweli, mwenyewe nimemkubali kuwa vindege vile hata sion sun ho atafit wapi

[emoji23][emoji23][emoji23] episode tamu kuliko story line nzima

Jana hatukua na reborn rich kwasabab hiyo sijui watasherehekea wiki nzima[emoji26]
 
Queen umbrella wasiiguse aiseee ilivyo tamu. Kuangalia ongoing mateso sana
Anayaweza kwakweli, mwenyewe nimemkubali kuwa vindege vile hata sion sun ho atafit wapi

[emoji23][emoji23][emoji23] episode tamu kuliko story line nzima

Jana hatukua na reborn rich kwasabab hiyo sijui watasherehekea wiki nzima[emoji26]
 
Tokea nianze kuangalia na kufuatilia sanaa ya wakorea hususani upande wa tamthilia kwa miaka 11.

nashawishika kukiri ya kwamba sijapata kushuhudia uhusika wa muigizaji msaidizi ulioshiba na kujitosheleza kuzidi uhusika wa MI SHIL ndani ya queen seondeok drama.

Nimefika episodes ya 20 ya hii drama.
Nimeandika komenti hii nikiwa:-

sijalewa,
Zeco hawajakata umeme kwamba nimeandika gizani,
Sijavuta bangi,
Sijanywa sumu,
Sijavaa fulana ya chama dola,
Sijatekwa,
sijalala kwa hamida.
sijanywa mirinda nyeusi,
Sijaandaa kamba ya katani kwa kujinyongea,

Kudos kwa muandishi, kudos kwa director, kudos kwa makeup artist aliyehusika na upambaji wa mwanadada Go Hyung Jung, bila ya kusahau heshima iendelee kumfikia mtaalamu wa mavazi.

Huyu dada ameigiza ikiwa amerelax, mpaka nimefikia kujiuliza huyu mjinga anaigiza au ni uhalisia?

Ni haki yake kushinda tuzo ya grand prize, amemfundisha jinsi ya kuigiza mwanadada lee yo won

View attachment 2433669
Mi Shili alifanya kazi kubwa sana mule ndani, anakuua huku anacheka.

Kuna zile ngoma zinapigwa Mishil akiwa stressed ( ngoma kama glass zinagongwa hivi), watu wa music walifanya poa sana nimeshangaika kuipata hiyo beat ila imeshindikana.
 
Big mouth nilikua naona uvivu kuiangalia ila nilipoanza kuiangalia comedy zake tu amazing inafurahisha sana
Mimi nimeanza kupenda drama za magerezani, zinahuzunisha na kufurahisha kwa wakati mmoja. Sasa hivi nipo na prison playbook...mwanzoni Park hae soo aliniboa vile alikuwa amezubaa ila sasa hivi nimeipenda kwa kweli
 
Hii Prison playbook nasikia ni nzuri ila sijawahi kuifuatilia kabisa.
Hii ni one among the best mkuu nimeimaliza week jana. Mwanzoni nilivomuona yule main character alivozubaa nikadhani itakua kazi mbovu ila nilivomaliza kuiona ni moja kati ya kazi poa sana.
Imenifanya nizisake kazi zingine za huyo main actor nikaicheki pia Chimera nayo iko poa sana

Errand boy: bishiiiir ( Meal time)
maxresdefault (1).jpg
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom