Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aaaah Khantwe sijakuzoea hivi bwana, mbona kama umejisikia vibaya kwa comment ambayo haitakiwi kukufanya ujisikie hivyo?

Haujalalamika na sijapinga maoni yako, jisikie vizuri tu comrade.
Umejibu kama kejeli fulani hivi, kwa lugha nyingine ni kama unaniambia 'haituhusu'. Samahani kama nimekuelewa vibaya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Scarlet Heart: Ryeo (historical ep 20)

Goblin ep 16

Strong woman do bong soon ep 16

weightlifting fairy kim bok joo ep 16

Am not a robot ep 16

True beauty ep 16

reply 1988 ep 20
suspicious partner ep 16
fight for my way ep 16
hwarang
love in the moonlight
the heirs
the bride of habaek
Happiness
bring it on ghost
the liar and his lover
graceful family
jealousy incarnate
blood
radio romance
encounter
flower of evil
the king in love
my sassy girl
rookie historian go hae ryung
prison playbook
mirror of the witch
scholar who walks the night
yong pal
the flower in prison

Hizo ni baadhi tu ya nilizozipenda,nimechoookaaa kutype. Tumeshakubaliana humu maelezo tumuachie inno😂😂😂. Najua zoote umeshaangalia💃💃💃
Mie hapo nime bahatika kutizama 6 tu hiyo Suspicious partner sikuimalizaga.

i)Yong pal(hii huwa siichoki sijui kwanini)
ii)Scarlet heart.
iii)The liar and his lover.
iv)My sassy girl.
v)The heirs.
vi)Blood.
 
Daemushin hizi hapa

1. Whisper ni ya matumizi ya akili Sana inamuhusu jaji aliyetoa hukumu ya baba mmoja asiye na hatia kutokana na nguvu ya mamlaka ya juu anajikuta anaingia kwenye mtihani mzito kutoka kwa binti wa baba alimuhukumu anachezewa mchezo na yule binti wa kuonekana amebaka na kurecordiwa video na anaambiwa ili asitoe ile video public afanye kazi under ya yule binti huku kumbuka yule judge ana back up ya mamlaka ya juu so anajikuta yupo njia panda wapi achague side

2.The last nayo ni ya akili Sana na inamchanganyiko na ngumi

3.fates and furious hii ni ya mapenzi dada anajaribu kuzama kwenye mapenzi na Tajiri kwa lengo la kulipiza kisasi

4.The great queen

5.dangerous Wife
Unapenda drama za akili nyingi nini? Ushaiona Liar game?.
 
Descendant of the sun, moja kati ya drama mbovu kuwahi kuingalia.

Lakini huwa najiona mtu wa tofauti sana kila nikiona inasifiwa sana.
Mimi mwenyewe niliangalia kwa kujilazimisha sana hadi nikaimaliza yani kama niliangalia ili kumfurahisha mtu tu, sisemi ni mbaya ila binafsi haikunivutia.
 
mkuu ngoja nikuambie kitu unajua hizi movie au vitabu huwa zinaandikwa ili kuonyesha lengo flani,

ukiitazama movie kwa lengo la kufurahia directly unaweza usiwe inspired kabisa
Mie ndio maana kuna drama ambazo nazipenda kwa sababu zangu binafsi yani najua zimepoa au wengine hawazielewi ila mie kuna vitu vinanivutia.

Kama Secret affair na Misty미스티.
 
Ni Aina Kama ya Lost Drama Kama Umeshaiona, Ama My Mister ama Liberation Notes Iko Kwa Maudhui Kama Hayo, Sa si Wote Wanaelewa Drama Za Nmna Iyo.

Ni Yale Maudhui yanayojikita kwenye Maisha yetu Halisi, Namna tunavyoishi, Utafutaji Wetu na tunayokutana nayo kama BinaAdam ama yaliyomo kwenye Familia Zetu. sio Drama Ile ya Amsha Amsha yaani Hii Iko taratibu.
Curtain call iko vipi Unaweza kunieleza kwa kifupi
 
Mtoto kajol anaielewa hii kazi
Screenshot_20221218-151741_1.jpg
 
Tatizo wakorea hawapo serious muda mwingine, mfano kuna series inaitwa lawless lawyer, mtu kachukua risasi kwenda kummaliza adui yake amefika kamnyooshea bastola maneno mengii huku anatetemeka mpaka mwisho wa siku akatekwa yeye kwenda kuuwawa.

Mtu anayelipa kisasi kwa watesi wake kwenye muvi za kikorea mwisho lazima auwawe au akamatwe na polisi( hollwood mwisho itaoneka mlipa kisasi yupo zake nchi za mbali anakula bata)

Komedi nyingi: hata muvi iwe serious vipi komedi zitakuwepo tuu

Dèmu mmoja kugombewa na watu wawili, yani kila muvi ya kikorea lazima itokee hali ya hivo.

Jina seoul lazima litajwe kila muvi kama ilivyo bongo movie kila aliyepo kijijini akienda mjini kuanza maisha lazima aonekana anashuka Ubungo Dar es salaam

Hao jamaa nchi yao ni tajiri , hata mtu awe maskini ila anamiliki gari kali
Mkuu umemaliza kila kitu hata mimi hivyo vitu vina nikera ile mbaya hasa ile kukuta kila movie hata iwe serious vipi wanaweka comedy Sana mzee baba choza choza tupo pamoja mawazo yetu yanafanana
 
Aaaah Khantwe sijakuzoea hivi bwana, mbona kama umejisikia vibaya kwa comment ambayo haitakiwi kukufanya ujisikie hivyo?

Haujalalamika na sijapinga maoni yako, jisikie vizuri tu comrade.
Unapenda drama za akili nyingi nini? Ushaiona Liar game?.
Yah napenda Sana movie za akili nyingi ila hiyo ya liar game sijawahi kuiona
 
Back
Top Bottom