Daemushin hizi hapa
1. Whisper ni ya matumizi ya akili Sana inamuhusu jaji aliyetoa hukumu ya baba mmoja asiye na hatia kutokana na nguvu ya mamlaka ya juu anajikuta anaingia kwenye mtihani mzito kutoka kwa binti wa baba alimuhukumu anachezewa mchezo na yule binti wa kuonekana amebaka na kurecordiwa video na anaambiwa ili asitoe ile video public afanye kazi under ya yule binti huku kumbuka yule judge ana back up ya mamlaka ya juu so anajikuta yupo njia panda wapi achague side
2.The last nayo ni ya akili Sana na inamchanganyiko na ngumi
3.fates and furious hii ni ya mapenzi dada anajaribu kuzama kwenye mapenzi na Tajiri kwa lengo la kulipiza kisasi
4.The great queen
5.dangerous Wife