Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Eti mtu anamaind Jiji la Seoul kutajwa kila drama wakati ndio set kubwa hiyo[emoji23][emoji23]Tatizo wakosoaji wanatumia lugha kali sana, tukubaliane tu series ikikukataa basi usishambulie watu , life lisogee sasa mtu uanze wakorea comedy nyingi, wakati baddhi ndo tunachokitafuta apo kwa kina Mo palmo , yule mzee wake dong yi na kijana wake[emoji16][emoji16][emoji16]
Akitaka local aangalie Our Blues mule Seoul haijaguswa kabisa.
Pia anatafuta vitu vya Kimarekani ndani ya Korean Dramas[emoji1787]