talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Inaonekana Tanzania kdrama fans tumeipaisha bendera yetu vizuri huko siku hizi wanatutaja sana
Sanaa
Hadi raha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana Tanzania kdrama fans tumeipaisha bendera yetu vizuri huko siku hizi wanatutaja sana
Kumbe na wewe unajua vitu vikali aisee vengeance of the bride ni Kali mno kwanza nilivyomuona tu yule dada ambaye ndio main character nikajua tu itakuwa ni Kali maana yule dada fundi Sana na nilivutika nae kwenye dangerous promise alicheza vizuri Sana.Baada ya Vengeance Of The Bride kuisha moto unaofuata ni Woman In Veil kwa teaser zake inaonekana ni kali zaidi.
Sema kutazama hizi drama kama ongoing ni stress sana hasa ikiwa ina heartbreaking events kwa main character View attachment 2535969View attachment 2535970
Niandalie ugali nakuja kukutembelea nyumbani kwako hapo kesho.Shukrani
Park Hana anabadilika huwezi kumpenda kwenye kila drama ukiangalia The Heavenly Promise na Young Lady And Gentleman utatamani umchape makofiKumbe na wewe unajua vitu vikali aisee vengeance of the bride ni Kali mno kwanza nilivyomuona tu yule dada ambaye ndio main character nikajua tu itakuwa ni Kali maana yule dada fundi Sana na nilivutika nae kwenye dangerous promise alicheza vizuri Sana.
Kwani amecheza uhusika gani nimekuwa mshabiki wake gafla maana kule kwa ha ji won madirector wanampa kazi mbovu mpaka nashindwa kuangalia kazi zake zinginePark Hana anabadilika huwezi kumpenda kwenye kila drama ukiangalia The Heavenly Promise na Young Lady And Gentleman utatamani umchape makofi
Nilidownload episodes za mwanzo sikubahatika kuziangalia,kama ni moto nitaanza kuiangalia hivi karibuniKumbe na wewe unajua vitu vikali aisee vengeance of the bride ni Kali mno kwanza nilivyomuona tu yule dada ambaye ndio main character nikajua tu itakuwa ni Kali maana yule dada fundi Sana na nilivutika nae kwenye dangerous promise alicheza vizuri Sana.
Hizo dramas kacheza kama Antagonist/Villain.Kwani amecheza uhusika gani nimekuwa mshabiki wake gafla maana kule kwa ha ji won madirector wanampa kazi mbovu mpaka nashindwa kuangalia kazi zake zingine
Ni aina ya drama yenye story nzuri na ina matukio yakuamsha amsha hisia kwa mtazamaji ndio aina ya drama nazozikubali na nimemkubali Sana villain wa hiyo drama kacheza vizuri SanaNilidownload episodes za mwanzo sikubahatika kuziangalia,kama ni moto nitaanza kuiangalia hivi karibuni
Mimi napenda drama ambayo ina story nzuri, yenye matukio ya amsha amsha, ambayo haina utoto either kama ni ya mapenzi au serious ilimradi isiwe nautoto, pili sizipendi drama zinachezwa na teenager's bila kujali story ikoje, sipendi zenye maudhui ya shule.kama kuna drama zenye vigezo nilizokutajia naomba unitajieSo far toka 2023 ianze drama hizi ni muhimu kuzipa macho
1.love to hate you
2.crash course in romance
3.call it love
4.interest of love
5.strangers again
Kama ni mnazi wa kdrama unaweza angalia pia
1.payback:money and power
2.Heavily idol
3.our blooming youth
Drama ambayo haieleweki 2023 ni Kokdu season of deity
Watu wa ongoing
#Delivery man
So far toka 2023 ianze drama hizi ni muhimu kuzipa macho
1.love to hate you
2.crash course in romance
3.call it love
4.interest of love
5.strangers again
Kama ni mnazi wa kdrama unaweza angalia pia
1.payback:money and power
2.Heavily idol
3.our blooming youth
Drama ambayo haieleweki 2023 ni Kokdu season of deity
Watu wa ongoing
#Delivery man
#Taxi driver 2
#Attorney shin
NB;DRAMA NYINGI HAPO JUU NI ONGOING CHACHE NDIO ZISHAKAMILIKA
#Taxi driver 2
#Attorney shin
NB;DRAMA NYINGI HAPO JUU NI ONGOING CHACHE NDIO ZISHAKAMILIKA
Do you want some ramyeon?Niandalie ugali nakuja kukutembelea nyumbani kwako hapo kesho.
ukitaka udownload series nyingi za kikorea mwenyewe bila usumbufu ni wewe na sim au PC yako na bando lako, nenda website inaitwa KISSASIANme naweza vipi ku download hizi drama kwenye computer!?
Do you want some ramyeon?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] only true kdrama fans will understand this[emoji1787][emoji1787]
Tunaanza ku ship na kdrama fans
Am here for it
Tunastahili pongezi, wakorea weusi[emoji16].Inaonekana Tanzania kdrama fans tumeipaisha bendera yetu vizuri huko siku hizi wanatutaja sana
Inaonekana unamkubali sana huyu Ha Ji Won.Kwani amecheza uhusika gani nimekuwa mshabiki wake gafla maana kule kwa ha ji won madirector wanampa kazi mbovu mpaka nashindwa kuangalia kazi zake zingine
🤣🤣🤣🤣🤣Tunastahili pongezi, wakorea weusi[emoji16].