Me mwenyewe nimeshasoma shule naelewa kabisa mazingira yake sihitaji filamu ndio inifundisheUnajikosesha vitu vizuri sana. Kama wewe ni mzazi itakufaa naamini ila kama ndio wale wenzangu na mimi ni kweli haikufai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwenyewe nimeshasoma shule naelewa kabisa mazingira yake sihitaji filamu ndio inifundisheUnajikosesha vitu vizuri sana. Kama wewe ni mzazi itakufaa naamini ila kama ndio wale wenzangu na mimi ni kweli haikufai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawaaaMe mwenyewe nimeshasoma shule naelewa kabisa mazingira yake sihitaji filamu ndio inifundishe
Mzee wa Unique taste huyo[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawaaa
Mwamba una tastes za pekee sana[emoji16]Me mwenyewe nimeshasoma shule naelewa kabisa mazingira yake sihitaji filamu ndio inifundishe
Mwamba una tastes za pekee sana[emoji16]
Leo sio mbaya nikupe recommendations kidogo kama hujawahi kuziona
Miss Ripley
Mask
Hotel King
A Thousand Days Promise
Different Dreams
Mad Dog
Investigation Couple
[emoji16][emoji16][emoji16] anacomplicate maisha sanaMzee wa Unique taste huyo[emoji23]
nilihitaji ugali madame khantwe, hata hivyo nakushukuru kwa ofa yako ya ramyeon (tambi).
navutiwa zaidi na upishi wa tambi za sukari, baba yangu hupenda sana kuandaliwa nyakati za mfungo wa ramadhani
tafadhali niandalie aina hiyo.
==================
kuna filamu ya kikorea inaitwa One Fine Spring Day, ni project ya mwaka 2001 iliowakutanisha lee young ae akiwa bado msichana mdogo na mvulana anayeitwa Yoo ji tae.
lee young ae alimualika yoo ji tae katika himaya yake, ndipo bidada lee akamuuliza Yoo.
do you want some ramyeon?
tokea hapo mara nyingi sentensi hiyo kupitia maigizo tofauti (crash landing on you, what happened to secretary kim, etc) imekuwa ikitumika kwa ajili ya kuweka wazi uvutio au uwazi kwa mtu umuhitajie kwa wakati husika.
ni sawa na kumtamkia
unahitaji kunywa kahawa?
unaweza kuendelea kubaki hapa?
imagine majira fulani, umekaa na mwenza anakutamkia maneno hayo,
anachohitaji ni zaidi ya kahawa.
ni wewe unayetamkiwa na uelewa wako
mwenzako amefall in love
Ra-myeon meog-go kal-lae?"
We kama mimi asee hizo Wunxia sina mzuka nazo kabisa hata iwejeSijui kwanini sijawahi kuvutiwa kabisa na Chinese drama, sidhani kama nitakuja kuzigusa, ingawa wengi huwa wanasisitiza kuwa ni nzuri.
Ndio hiyo
Mkuu shukrani sana kuiyona tu hiyo drama ya mask inanipa Mwanga hii list sio ya kitoto kabisa maana nimeiyona hiyo ya mask tu na ilikuwa ni bonge la drama sasa hapa naona unaanza kunielewaMwamba una tastes za pekee sana[emoji16]
Leo sio mbaya nikupe recommendations kidogo kama hujawahi kuziona
Miss Ripley
Mask
Hotel King
A Thousand Days Promise
Different Dreams
Mad Dog
Investigation Couple
HII vipi ipo mzuka au maana za Shamba adimu sana now day.
A'fu kama kuna mtu ana link ya Dae Jo Young naomba plz
View attachment 2549412
Bando lishapanda dau so lazima niangalie kitu kitachoniridhisha moyo[emoji16][emoji16][emoji16] anacomplicate maisha sana
Hapana kwenye hiyo list aliyonipa kuna Moja nimecheki hiyo "mask" baada ya kuiyona hii nadhani zingine zitakuwa Kali maana ni Moja Kati best drama niliyowahi kuangalia unaingia kwenye top 20 yangu ya drama ya best of all timeNasubiria lawama atakazokushushia pale atakapokuta taste zake hajikamilika😂😂😂😂
Kuna The Handmaiden hiyo ni kiboko nilidownload bila kujua ntayokutana nayo ndani sikutegemea kwa hawa watuNdio hiyo
Sawa ila zipe respect romantic dramas zetuHapana kwenye hiyo list aliyonipa kuna Moja nimecheki hiyo "mask" baada ya kuiyona hii nadhani zingine zitakuwa Kali maana ni Moja Kati best drama niliyowahi kuangalia unaingia kwenye top 20 yangu ya drama ya best of all time
Mimi niliishia episode 1 tu nikaitupilia mbali
Angalia kuna moja inaitwa innocent defendant na Mouth hautajuta mkuuHahah mimi hype ndo ilinifanya nifike hadi episode ya 4.
Angalia kuna moja inaitwa innocent defendant na Mouth hautajuta mkuu
Kuna kdrama inaitwa Mouth? Kweli nina safari ndefuInnocent Defendant nimeshaangalia. Ngoja nitafute hiyo Mouth nimegoogle naona ni nzuri.