Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Reality ya young actors

Team moonlight wamechangamka na kuzoeana fasta kuliko team zingine. Ila drama yake pia tamu sana

Ongoing zinazonipa burudani

Three bold siblings ep 50

The love in your eye ep 118

Huyu kyung soo wa itaewon anachekesha na aibu zake[emoji1787]

Alafu nae mu handsome balaa
 
Halafu sasa kakutana na comedian wake dong yeon(cheiii nimeanza kuwashika majina,enzi hizo ningeita bodyguard wa crown prince😂😂😂)

Mbeleni(nje ya reality) nahisi kutakuwa na project(kuigiza drama )ya in youp na you jung

kisha Bo gum na kwon na ra
Huyu kyung soo wa itaewon anachekesha na aibu zake[emoji1787]

Alafu nae mu handsome balaa
 
Halafu sasa kakutana na comedian wake dong yeon(cheiii nimeanza kuwashika majina,enzi hizo ningeita bodyguard wa crown prince[emoji23][emoji23][emoji23])

Mbeleni(nje ya reality) nahisi kutakuwa na project(kuigiza drama )ya in youp na you jung

kisha Bo gum na kwon na ra

Ila dong yeon alikua anachekesha sema ye anacheka sanaa

Alaf naona na yo jung kama wanajaliana sana au ndo tangu itaewon

Bo gum yuko lovely kama katoto
Nampendaga sana.

Se joon ni free mind anaropokwa[emoji23]
 
Yoo jung wa moonlight, member wa hilo group wamechangamka na wamezoeana since day one ndo maana mission yao ya kwanza kusaka pesa walipata nyingi.

Yupo free mwenyewe hana baya na mtu😂😂😂😂bo gum

se joon kutupwa kwenye maji mara moja tu akatamani kurudi kwao,sipati picha angekuwa kwenye nafasi ya in youp😂😂😂😂. Khantwe unakosa uhondo vuta basi hii reality tujadili vizuri. Yupo baby wa yumi aliekuwa anazichangamsha zile cell's
Ila dong yeon alikua anachekesha sema ye anacheka sanaa

Alaf naona na yo jung kama wanajaliana sana au ndo tangu itaewon

Bo gum yuko lovely kama katoto
Nampendaga sana.

Se joon ni free mind anaropokwa[emoji23]
 
Yoo jung wa moonlight, member wa hilo group wamechangamka na wamezoeana since day one ndo maana mission yao ya kwanza kusaka pesa walipata nyingi.

Yupo free mwenyewe hana baya na mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bo gum

se joon kitupwa kwenye maji mara moja tu akatamani kirudi kwao,sipati picha angekuwa kwenye nafasi ya in youp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khantwe unakosa uhondo vuta basi hii reality tujadili vizuri. Yupo baby wa yumi aliekuwa anazichangamsha zile cell's
Mnavyoyataja hayo majina sasa, utafikiri nyie ni Wakorea [emoji28][emoji28]
 
Mambo ya taste ni magumu...Mimi binafsi kwa Attorney Woo sikujutia
Ni kweli taste tunatofautiana,ukitaka kufaidi drama usihadisiwe sana chamsingi ukipewa recommendation angalia moja kwa moja wewe ndio utaamua drama kuwa nzuri au mbaya
Hii ilinikuta kwenye innocent defendant,the glory n.k
NB Kuangalia ongoing raha sana sababu ukiona drama mbaya unaitosa tu,kuliko kushusha mzigo wote wa complete drama[afu mbovu][emoji1787][emoji1787]
 
Wiki hii ongoing zinazoanza
1.the secret romantic guest house/washapandisha EP1 ni historical
2.the real has come

Ongoing ambazo zipo vizuri
1.pandora beneath the paradise /action & siasa& visasi
2.divorve attorney shin/vibe za ki law drama
3.taxi driver s2/crime
4.Call it love/ wapenzi wa melodrama imetulia sana picha zake zinamuonekano wa pink filter
5.Delivery man/ fantasy inaendele vizuri
6.The heavenly idol/fantasy inaisha wiki hii
7.our blooming youth / historical makini kuna mahali nimeona wanasema ni copy and paste ya kings affection
Aliyeona kings affection? Ni kweli?au
8.Oasis/vibe za miaka ya 1970-1980s lovestory &siasa n.k
Hii ipo kitofauti sana mandhari/mazingira yake yanaonekana ya miaka70s na 80s

NB Wakorea drama za 2023 round hii wanaishia EP 12-16 hawafiki 20 sijui kwanini
 
Back
Top Bottom