Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nishaishusha hii huyu attorney ndio ana aspeger's/ autistic spectrum?

Alaf kuna siku nimekutana na mkaka mwenye autism kama ya attorney woo

Tena ameitwa akafanye kazi nyeti
Alivyotoka wakawa wanamsifia alivyo mbobevu maswala ya mitandao

Yan nae anahesab hadi vidole kwanza
Icho kichwa kuongea kama woo young woo
Ah nikajikuta kama nayajua yote kisa wakorea[emoji1787]
 
Hivi vitonga mbona kwangu huwa havikubali? Tangu nianze kucheki Kdramas sijawahi kabisa kuupata uhondo wa kitonga.

Emagine drama ya Ep 60 unakimbizana nayo kwa normal data charges, nikipata nitakuwa nimeokoka sana[emoji1].

[emoji16][emoji16]

Mimi nikishasifiaga ndo kinagoma em tutaste mitambo hadi kesho[emoji16]

Lakin data charges unanunua? Mi huwa nafunga safar kwenda sehem za wi-fi kitonga kikiyayusha
 
Alaf kuna siku nimekutana na mkaka mwenye autism kama ya attorney woo

Tena ameitwa akafanye kazi nyeti
Alivyotoka wakawa wanamsifia alivyo mbobevu maswala ya mitandao

Yan nae anahesab hadi vidole kwanza
Icho kichwa kuongea kama woo young woo
Ah nikajikuta kama nayajua yote kisa wakorea[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16]

Mimi nikishasifiaga ndo kinagoma em tutaste mitambo hadi kesho[emoji16]

Lakin data charges unanunua? Mi huwa nafunga safar kwenda sehem za wi-fi kitonga kikiyayusha

Moja kati ya dramas ambazo zimekula hela yangu ni Queen Seondeok, DONG YI, Empress Ki, DAE JANG GEUM.

Ngoma zina episode 60, kwahiyo kila nilipokuwa nazianza nilishindwa kabisa kuziacha.
 
Mimi Queen seondeok nili- stream na bando pia, nashangaa sasa hivi drama ya episode 20 naikimbia
Mimi drama yoyote nikiielewa nakomaa nayo, maana sijawahi kunufaika na kitonga hata kimoja.

Sema nakuwa selective sana ili kuepuka kupoteza MB's, natafuta drama ambazo zipo highly rated, na navuta episode mojamoja.
 
Ongoing sikai nazo mbali mwaka huu wamejua kunikosha historical dramas sio haba huku Our Blooming Youth then pembeni Secret Romantic Guest House(imeanza jana na inaonekana kali)

Shin Ye Eun ni byuti byuti aisee anafaa kuchukua nafasi ya Song Hye Kyo kwa wale Beauty Goddesses
 
Mimi mwenzenu Song hye kyo sionagi kama ni mzuri kivileee...au ndio yaleyale mambo ya taste[emoji16][emoji16]
 
Tuko pamoja mkuu [emoji1666][emoji1666][emoji1666] wanachama wengine ni talnam Numbisa
이상한 변호사 우영우.
Hii series nimeipenda ingawa nimeangalia episode 5 tu kwa leo, zimebaki episode 11. Nadhani ni mwanzo mzuri, ndio mara yangu ya kwanza kuangalia Korean series isiyo na Action wala Thriller. Sasa nimeingia rasmi[emoji28][emoji28]
Hilo jina la Kikorea lisikuchanganye, hiyo ni "Extraordinary Attorney Woo"[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom