Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huu uzi leo mateso tupu. Naangalia majina yaliyotajwa naenda kuwasaka google nione sura zao.. Kati ya wakaka na wababa wootee wa kikorea ambae simuelewi ni yule role model wa daemushin a.k.a mzanzibar. Staring wa jumong[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Yule sio handsome wale nn,handsome alikuwaga yule jamaa aliyecheza Winter Sonata na The Legend
 
Huu uzi leo mateso tupu. Naangalia majina yaliyotajwa naenda kuwasaka google nione sura zao.. Kati ya wakaka na wababa wootee wa kikorea ambae simuelewi ni yule role model wa daemushin a.k.a mzanzibar. Staring wa jumong[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani humuelewi yule daah
 
Mweeh kweli tunatofautiana...huyo naye anaingia kwenye kundi la wazuri labda hicho kiuno
Sijawahi kuangalia drama yake tangu niangalie Hwarang hata ile It's Okay To Not Be Okay sijaitazama hadi leo.

Najishangaa sana mimi ni shabiki wa waigizaji wa Kike tu ila hapa hata nikijilazimisha taste inagoma[emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂huwa nacheka tu vile viupaja vyao
Hakunga kitu kinanivutia kama kuona Actress katinga long dress huwa wanapendeza japo wao wanapendaga kuvaa nguo fupi halafu maskini ya Mungu wengine nyama hawana hasa Lee Da Hee kaenda hewani basi akivaa nguo fupi huwezi kujua paja linaanzia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sema nguo fupi ni tastes za Wanaume wa Kikorea[emoji23]View attachment 2561557
 
Sijawahi kuangalia drama yake tangu niangalie Hwarang hata ile It's Okay To Not Be Okay sijaitazama hadi leo.

Najishangaa sana mimi ni shabiki wa waigizaji wa Kike tu ila hapa hata nikijilazimisha taste inagoma[emoji23]
Hizo ulizoangalia na mimi ndio hizohizo simuelewagi wala [emoji16][emoji16]
 
Huyu si ndo yule wa kwenye ile mature movie ya lesbo nimeisahau jina ila uliitaja juzi hapa
Sijawahi kuangalia drama yake tangu niangalie Hwarang hata ile It's Okay To Not Be Okay sijaitazama hadi leo.

Najishangaa sana mimi ni shabiki wa waigizaji wa Kike tu ila hapa hata nikijilazimisha taste inagoma[emoji23]
 
Huyo wako atakuwa Suga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wana majina mawili na wengine wamefupisha yaleyale
RM.... Kim nam joon
V....Kim tae hyung
Jin.... Kim seokjin
Jhope.... Jung hoseok
Suga.... Min yoongi
Jimin...Park Jimin
Jungkook... Jeon Jungkook

Suga kauzu yule akaa

Wa mie huyo j hope[emoji7]
 
Huu uzi leo mateso tupu. Naangalia majina yaliyotajwa naenda kuwasaka google nione sura zao.. Kati ya wakaka na wababa wootee wa kikorea ambae simuelewi ni yule role model wa daemushin a.k.a mzanzibar. Staring wa jumong[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Ndo maana sio crush wa wengi japo drama yake ndo za mwanzo mwazo kuingia tukaishia kwa lee minho
 
Hakunga kitu kinanivutia kama kuona Actress katinga long dress huwa wanapendeza japo wao wanapendaga kuvaa nguo fupi halafu maskini ya Mungu wengine nyama hawana hasa Lee Da Hee kaenda hewani basi akivaa nguo fupi huwezi kujua paja linaanzia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sema nguo fupi ni tastes za Wanaume wa Kikorea[emoji23]View attachment 2561557

Yan tule tumin mi naonaga aibu[emoji1787]
Ila nilivyoona Nara akiwa anawafokea jessi na mijoo wakivaa hizo nikajua aaah mambo ya utandawazi
 
Yah nakuwaga sipo comfortable kutamba kabisa napenda kuwaona ndani ya Elegant style.

Oh Nara ni mtu mzima yule lazima afoke ila Mijoo bado utoto unamsumbua,Jessi anajifanya bado kijana wakati anakimbiza 38 soon kama sikosei
 
Kim Tae ri kaigiza GL

Enzi hizo nilikua namchanganya na IU[emoji1]

Kumbe anafanana sana na FL Wa Heavenly idol.
Yah GL tena hot too much kila kitu wazi kasoro reproductive parts tu.

Alipewa kazi ya kumfundisha mtoto mmoja wa Kijapan baadhi mambo ya faragha kwa sababu soon alikuwa anatarajia kuolewa kilichotokea yule mtoto akapatwa na tamaa za kimwili bwana wakawa wanapasha aisee[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom