Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Yule sio handsome wale nn,handsome alikuwaga yule jamaa aliyecheza Winter Sonata na The LegendHuu uzi leo mateso tupu. Naangalia majina yaliyotajwa naenda kuwasaka google nione sura zao.. Kati ya wakaka na wababa wootee wa kikorea ambae simuelewi ni yule role model wa daemushin a.k.a mzanzibar. Staring wa jumong[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]