Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Nadhani ungempa kisa kamili kuwa miaka ya 70's kuna wanafunzi walikuwa wapenzi ila kutokana na changamoto flani hawakuweza kuwa pamoja.Ni drama inayonyesha tofauti ya romantic relationships za zamani za kipindi hiki, hivyo imechezwa kwenye eras tofauti. Inahusu wanafunzi (wanaojielewa) wa chuo ambao kila mmoja alimpenda mwenzie siku ya kwanza tu kuonana (love at first sight), lakini wote walikuwa na aibu kuonyesha hisia to each other. Mbaya zaidi walikuwa destiny yao ilikuwa kwenda different paths hivyo mpaka jamaa anatongoza rasmi muda wa kuondoka eneo walilokuwepo ulikuwa umefika..........
Miaka mingi ikapita kila mmoja akawa na mwenza wake na wakawa na watoto but still hawana furaha kwenye ndoa zao na bado wanapendana.
Katika unexpected way wakati wanajaribu kurejesha majeshi yao bahati mbaya watoto wao wapo mapenzini so wachague moja waache watoto wao wapendane au wapendane wao.
Anyway kuna OST humo tamu ila nnazozielwa ni Love Rain ya Jang Keun Suk na Because It's You ya Tiffany Young