Hizi drama zenye maudhui ya beef kati ya waigizaji wakuu wawili zina ladha yake na udhaifu wake.
Nimerudi nyuma mpaka 2011, nimekutana na hii
the greatest love drama.
waigizaji wa korea nawasahau majina yao kwa speed kubwa sana.
Ndani yake utakutana na:
gong hyo jin, cha seong won, yoon kye sang, yoo in na.
Cho amemzidi gong kwa miaka 10, mmoja ana miaka 53 na mwengine 43.
Je mwaka 2011 walikuwa na miaka mingapi?
Mshindi atapata maji ya pemba yanayotibu shida, karaha na unafiki
View attachment 2584568