Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Asante sanaHatujambo. Karibu tena kwenye familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaHatujambo. Karibu tena kwenye familia
Shukrani mkuu, vipi lakini hivi lobbyist iliweza kumaliziwa mpaka mwisho?. Maana mimi sijawahi kuipataga yote full.Drama yake nyingine niliyoona inaitwa Surgeon Bong Dal-hee ilikua inarushwa na Arirang tv miaka hio.
Drama zilizoruka Arirang tv miaka hio enzi ma-dish ya Arisat ni Lobyst, The King and I, Hello my teacher, Lovers, Brilliant Legacy, Super rookie ranger, Lets go to the beach, The land (Toji),
View attachment 2600493
My baby sis...nimefurahi kukuona mitaa hii. Kuhusu call it love sijaiona badoNani kaona call it love?ni nzuri?
Nimeona trailer nimependa
Nipo nadownload hapa ili niianze hapo badae
Hii variety naona walienda kula na kucheka cheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2603430
Wooga squad [emoji7]nawapenda ila variety siangalii...sitaki ulevi mpyaHii variety naona walienda kula na kucheka cheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2603430
Nafurahi kukuona pia sis,halafu nimekumiss 😊My baby sis...nimefurahi kukuona mitaa hii. Kuhusu call it love sijaiona bado
Nimekumiss pia my dear..kumbe wewe ni memba wa siri. Delivery man nina mpango wa kuitazama siku za karibuniNafurahi kukuona pia sis,halafu nimekumiss [emoji4]
Mitaa hii mie mwenyeji nayepitaga kimya kimya ...call it love nimeimaliza kuidownload pamoja na Delivery man
Nawaza nianze na ipi
Yeah ipo hadi mwisho itafute kissasianShukrani mkuu, vipi lakini hivi lobbyist iliweza kumaliziwa mpaka mwisho?. Maana mimi sijawahi kuipataga yote full.
Ipo vizuri usisite kuitazamaNani kaona call it love?ni nzuri?
Nimeona trailer nimependa
Nipo nadownload hapa ili niianze hapo badae
The Secret Romantic GuesthouseUnaongelea drama ipi mkuu?
Hii ni ya kuongeza tu idadi ya varieties ulizoangalia haina mvuto. Nzuri ni jinny's kitchen inaisha ijumaa ijayo.Wooga squad [emoji7]nawapenda ila variety siangalii...sitaki ulevi mpya
Wanavutia
Nzurii?
Jinny's kitchen naionaga insta inaonekana nzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli ni ulevi mkubwa just imagine mie wa kufatilia ongoing variety kweli!!?hadi najishangaa tena ya kuchungulia watu wanakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni ya kuongeza tu idadi ya varieties ulizoangalia haina mvuto. Nzuri ni jinny's kitchen inaisha ijumaa ijayo.
Tuko wengi.Mtandao gani una bando nafuu?, maana gharama za dats nazo zinanipunguzia jeuri na mudi ya kuangalia drama.
nimetoka kuangalia bossam: steal the fate drama ambayo ilikuwa na hadithi ya mfalme gwanghae.Nipo episode ya 25 ila bado roho haitaki kabisa kuona Gwanghae akiwa dethroned.
ahsante Mungu kwa kuendelea kukuweka hai, hayo mengineo sijui internet ni mbwembwe tu za kiulimwengu.Kwanza kabisa nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea( DPRK) .
Kwanza ukimya huu umejawa na mengi sana moja wapo ni majukumu lakini pili kwa takribani mwaka mzima nilikuwa sina access ya kureply au ku like chochote humu Jf.