Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Mtandao wako pia gharama zipo juu?Tuko wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandao wako pia gharama zipo juu?Tuko wengi.
siku hizi wanatuletea mabishoo hata kuendesha farasi hawawezi mpaka watumie waigizaji feki na technology juu.View attachment 2603761
The Imjini war
Amecheza Choi soo jong, huyu mwamba ni king wa historical drama. Hana kazi mbovu.
Tafadhali amabaye anajua huyu mzanzibari a.k.a mla urojo @Daemusin anijuze.
Mwambie nimerudi toka Goguryeo maana nimekuwa time traveller.
Huyu Rais wasasa( Yoon Suk Yul) huko S. Korea anakiherehere sasa dawa yake ipo jikoni, moon jae in alikuwa mstaharabu. Huyu wa sasa anatafuta mpk ushirika na Japan ili tu kumfurahisha Marekani. Amakweli Siasa na unafiki ni chanda na pete. Bora wangempa yule aliyekuwa gavana wa Gyonggi do Bw. Lee Jae Myung.ahsante Mungu kwa kuendelea kukuweka hai, hayo mengineo sijui internet ni mbwembwe tu za kiulimwengu.
nimekuwa mzanzibari badala ya daemushin/ daemusin ila khulka yangu haijabadilika hata kwa sekunde.
ndio madhara ya kujichimbia huko korea kaskazini, si useme tu muhuni kim alikupokonya mtandao ili ufocus na project ya kutengeneza makombora ya hwasong, nimesikia lile mulilolifanyia majaribio juzi lina uwezo wa kufika PEMBA ya Zanzibar.
ahsante kwa ukumbusho, nimeshaitafuta episode 1.Nipo na Dr Romantic 3 kama kawaida tumeanza nayo vyema
Nilikuwa nimemiss drama za kibabe kama hizo, huyo mwamba naomba asizeeke maana hawa watoto wetu mabishoo sana.siku hizi wanatuletea mabishoo hata kuendesha farasi hawawezi mpaka watumie waigizaji feki na technology juu.
mdogo wangu mwaka huu KBS wanaadhimisha miaka 50 ya utoaji wa huduma ya habari, wahuni wameamua kutuzawadia hiki chuma ifikapo katikati ya mwaka.
chuma kinaitwa Goryeo-Khitan War.
A story of King Hyeonjong of Goryeo and Commander-in-Chief Gang Gam-Chan (Choi Soo-Jong). They unite the people of Goryeo to one and lead a war against Khitan.
baada ya miaka 10 hatimaye choi anarudi tena katika maisha ya periodic historical drama, huyu bwana yeye haogopi changamoto na miaka yake 60 ya kuzaliwa.
Nimesha imaliza Jan yeong-sill miezi iliyopita .
*Wakorea wanajua kupangilia matukio mazungumzo na stori
*Song_ill_ Hook(Jumong) katisha sana mpaka sasa kwangu mimi ndio GOAT ,hakuna drama aliyoniangusha
*Napenda sana movies zenye njama na fitina za kisiasa katika utawala mule wamerusha.
*Picha za wakorea haswa za kijijini ni somo tosha , kama hii ina mambo mengi ya kisayansi na vipi mvumbuzi na msomi au mtafiti anatakiwa awe.
Dada yupi aliyeaga dunia mara baada ya kuigiza Lobbyist?pumzika kwa amani wewe dada (cancer ilimsambaratisha mnamo mwaka 2009, miaka miwili baada ya kuigiza lobbyist).
Muigizaji mkuu wa kikeDada yupi aliyeaga dunia mara baada ya kuigiza Lobbyist?
Ingawa hii series imeitazama 2012 kwahiyo simkumbuki, ila nakumbuka kulikuwa na mdada alikuwa karibu na Harry anaitwa Maria ama ndo huyu?Muigizaji mkuu wa kike
View attachment 2603798
Nilikuwa nimemiss hivi vitu, yaan umenikaribisha.behind every successful man there is a woman
katika project ambayo song triplets father naamini hawezi kuisahau ni emperor of the sea,
kabla hajapata offer ya kushiriki emperor of the sea alikuwa ni muigizaji wa kawaida nchini korea lakini baada ya kuigiza uhusika wa yeom mun ambaye alikuwa anateswa na mambo mawili makubwa nayo ni mapenzi na ambition alipata umaarufu mkubwa sana kwa mashabiki hususani wasichana.
najiuliza kwa nini wanawake wengi walioangalia emperor of the sea walimpenda yeom mun ambaye alikuwa ni muuaji aliyebobea kuliko jang bogo ambaye alikuwa ni mtu mwema?
wanasema kwenye maisha yako unayoishi basi kuna nafasi tatu
hayo ndio maneno aliyoyazungumza song il kook baada ya kumaliza sherehe za kufanikiwa kumaliza kwa salama kurekodi drama ya emperor of the sea.
wakati alipopata offer ya emperor of the sea Song il kook alipata kwanza offer ya kuigiza kwenye drama ya ADMIRAL YI SOO SHIN, lakini kutokana na ishu za kisiasa wakati huo mama yake alikuwa anagombania uongozi wa serikali basi kulipelekea mpango wa kushiriki kutokufanikiwa.
nilimchukia sana mama yangu kwa sababu nilikwisha jiandaa vizuri kimazoezi, kuendesha farasi na mapigano lakini kwa sasa naamini sikustahili kuigiza kwenye drama ile, kama ningelishiriki kwenye ile drama naamini nisingelipata nafasi ya kuigiza kwenye jumong (MBC 2006). alisema song il kook.
kuondoka ghafla kwa muigizaji ji sung kwenye drama ya terms of endearment mke wa director aliamua kumshauri mume wake ampe nafasi song il kook wakati ambao director alikuwa anahangaika kutafuta muigizaji mwengine.
mke wa director alivutiwa sana na uwezo wa song il kook kupitia morning drama ya album of life.
kwenye terms of endearment kuanzia episode ya 25 song alicheza uhusika wa mwanamme ambaye alitokezea kumchukia mke wake baada ya kugundua maisha ya zamani ya mke wake,umaarufu wake ulizidi kuongezeka hususan kwa mama wa nyumbani baada ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye drama hiyo na kupelekea kushinda tunzo ya best couple pamoja na mwanadada han ga in.
tukirudi kwenye emperor of the sea timu nzima ya waongozaji wa drama hiyo walikuwa kwenye mtihani mkubwa wa kutafuta muigizaji wa kucheza nafasi ya yeom mun, muigizaji Han Jae Suk ndiye wa kwanza aliyepewa nafasi ya kuigiza na alikuwa tayari alishamaliza photo shooting ya drama hiyo lakini baadae kukatokezea matatizo kwani muda wake wa kwenda kutumikia jeshi ulikwisha fika.
mwanamama chae sira (madam jami) ambaye alishiriki kwenye drama ya terms of endearment pamoja na song il kook akatumia ushawishi wake kumtafutia nafasi song il kook ili aigize uhusika wa yeom jang.
wakati director kang il soo akielekea nchini china kwa ajili ya film location alimuona song il kook ni muigizaji wa kawaida tu ndipo akataka ushauri kwa mke wake lakini kwa mara nyengine nguvu ya mwanamke ilimbeba tena song il kook.
mke wake alisema;
unasemaje ?
kwa sasa ndani ya korea kusini amekuwa maarufu sana baada ya kuigiza terms of endearment na ni bora uharakishe kumpa nafasi kabla hujachelewa. hivyo basi ndani ya drama mbili alipata msaada mkubwa kutoka kwa wanawake. hii ni chance of a life time.
wanaume tunapaswa tuwaheshimu wanawake lakini si kila mwanamke anapaswa kuheshimiwa na kusikilizwa (sentensi tata).
wengine wanapenda vayolence akiwem
![]()
huyo bwana pichani ndiye alipaswa kuigiza uhusika wa yeom mun kwenye emperor of the sea drama.
kama umeangalia lobbyist drama huyo bwana alimpenda sana yule dada aliyeigiza uhusika wa maria (Jang Jin-Young).
maisha hayana formular, kwenye lobbyist alikuwa mpinzani wa song il kook ambaye huku alimpokonya tonge mdomoni
pumzika kwa amani wewe dada (cancer ilimsambaratisha mnamo mwaka 2009, miaka miwili baada ya kuigiza lobbyist).
Numbisa nikiandika magazeti ya song il kook hufurahi sana na baadhi ya wakati hunichomoa makusudi.
wiki 6 nyuma alinichomoa akishirikiana na al hadid ila nikaamua niepushe vayolence
==============
behind every successful man there is a woman
katika project ambayo song triplets father naamini hawezi kuisahau ni emperor of the sea,
kabla hajapata offer ya kushiriki emperor of the sea alikuwa ni muigizaji wa kawaida nchini korea lakini baada ya kuigiza uhusika wa yeom mun ambaye alikuwa anateswa na mambo mawili makubwa nayo ni mapenzi na ambition alipata umaarufu mkubwa sana kwa mashabiki hususani wasichana.
najiuliza kwa nini wanawake wengi walioangalia emperor of the sea walimpenda yeom mun ambaye alikuwa ni muuaji aliyebobea kuliko jang bogo ambaye alikuwa ni mtu mwema?
wanasema kwenye maisha yako unayoishi basi kuna nafasi tatu
hayo ndio maneno aliyoyazungumza song il kook baada ya kumaliza sherehe za kufanikiwa kumaliza kwa salama kurekodi drama ya emperor of the sea.
wakati alipopata offer ya emperor of the sea Song il kook alipata kwanza offer ya kuigiza kwenye drama ya ADMIRAL YI SOO SHIN, lakini kutokana na ishu za kisiasa wakati huo mama yake alikuwa anagombania uongozi wa serikali basi kulipelekea mpango wa kushiriki kutokufanikiwa.
nilimchukia sana mama yangu kwa sababu nilikwisha jiandaa vizuri kimazoezi, kuendesha farasi na mapigano lakini kwa sasa naamini sikustahili kuigiza kwenye drama ile, kama ningelishiriki kwenye ile drama naamini nisingelipata nafasi ya kuigiza kwenye jumong (MBC 2006). alisema song il kook.
kuondoka ghafla kwa muigizaji ji sung kwenye drama ya terms of endearment mke wa director aliamua kumshauri mume wake ampe nafasi song il kook wakati ambao director alikuwa anahangaika kutafuta muigizaji mwengine.
mke wa director alivutiwa sana na uwezo wa song il kook kupitia morning drama ya album of life.
kwenye terms of endearment kuanzia episode ya 25 song alicheza uhusika wa mwanamme ambaye alitokezea kumchukia mke wake baada ya kugundua maisha ya zamani ya mke wake,umaarufu wake ulizidi kuongezeka hususan kwa mama wa nyumbani baada ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye drama hiyo na kupelekea kushinda tunzo ya best couple pamoja na mwanadada han ga in.
tukirudi kwenye emperor of the sea timu nzima ya waongozaji wa drama hiyo walikuwa kwenye mtihani mkubwa wa kutafuta muigizaji wa kucheza nafasi ya yeom mun, muigizaji Han Jae Suk ndiye wa kwanza aliyepewa nafasi ya kuigiza na alikuwa tayari alishamaliza photo shooting ya drama hiyo lakini baadae kukatokezea matatizo kwani muda wake wa kwenda kutumikia jeshi ulikwisha fika.
mwanamama chae sira (madam jami) ambaye alishiriki kwenye drama ya terms of endearment pamoja na song il kook akatumia ushawishi wake kumtafutia nafasi song il kook ili aigize uhusika wa yeom jang.
wakati director kang il soo akielekea nchini china kwa ajili ya film location alimuona song il kook ni muigizaji wa kawaida tu ndipo akataka ushauri kwa mke wake lakini kwa mara nyengine nguvu ya mwanamke ilimbeba tena song il kook.
mke wake alisema;
unasemaje ?
kwa sasa ndani ya korea kusini amekuwa maarufu sana baada ya kuigiza terms of endearment na ni bora uharakishe kumpa nafasi kabla hujachelewa. hivyo basi ndani ya drama mbili alipata msaada mkubwa kutoka kwa wanawake. hii ni chance of a life time.
wanaume tunapaswa tuwaheshimu wanawake lakini si kila mwanamke anapaswa kuheshimiwa na kusikilizwa (sentensi tata).
wengine wanapenda vayolence akiwemo numbisa
Jinny's kitchen naionaga insta inaonekana nzuri
V na woo shik ni best friends nadhani wamependwa wote. Kuna kipande cha interview niliangalia V anamdai woo shik kimchi containers eti mama yake alimpea kimchi hadi leo hajarudisha [emoji23][emoji23]Ni nzuri.Huko insta wamempenda V wa bts ila mie anayenifurahisha ni woo shik kajamaa kajanja ila kamekutana na Boss mjanja zaidi yake. Halafu sehemu waliyoenda kushoot hawafahamu kuhusu korean drama ila wanaifahamu parasite movie
V na woo shik ni best friends nadhani wamependwa wote. Kuna kipande cha interview niliangalia V anamdai woo shik kimchi containers eti mama yake alimpea kimchi hadi leo hajarudisha [emoji23][emoji23]
Kilichomfanya Seonjo amchukie Gwanghae ni ile kuhisi dogo kamshusha sana vyeo na pengine anamchukulia kama coward na muoga asiyesitahili throne, baada ya Ghwanghae kushinda ile vita (Imjin War). Kwa urahisi zaidi niseme kwamba, ule ushindi wa Ghwanghae ulikuwa ni humiliation kubwa sana kwake hasa baada ya kuficha mkia wake kwa uoga. kibaya zaidi Ghwanghae alikuwa akiutumia huo ushindi kama reference ya kuonyesha kwamba hawezi kushindwa kuongoza, pale ambapo mzee wake alionyesha kum-undermine.nimetoka kuangalia bossam: steal the fate drama ambayo ilikuwa na hadithi ya mfalme gwanghae.
naangalia hwajung drama ambayo imebeba simulizi ya mfalme gwanghae.
bado najaribu kuitafuta sababu ya msingi inayopelekea baba na mwana kuchukiana katika maisha ya kawaida hususani ya kiutawala.
ukiangalia jing bi rok, admiral yi soon shin na hwajung drama kwa nyakati tofauti zote zimetuonyesha uhusiano mbovu uliopo kati ya mfalme seonjo na gwanghae ambaye ni mwanawe aliyezaa na concubine.
hata ukiangalia medical historical drama zote mbili zinazoitwa hur jun nazo pia waandishi walituonyesha ill fated kati ya mfalme seonjo na gwanghae, ilifika hatua mfalme seonjo ni kama alikuwa na wivu wa kipuuzi dhidi ya gwanghae eti kwa sababu daktari bingwa (hur jun) alijiweka karibu sana na gwanghae kuliko mtoto wake aliyezaa na malkia (yeongchang).
stupid
why always gwanghaegun na seonjo?
kwanini waandishi hawatubadilishii mdundo.
natamani kanuni ya time travelling ifanye kazi kiupande wangu, ili nipate nafasi ya kuyashuhudia kiundani maisha ya baba na mwanawe, Je ni kweli baba alimchukia mwana kwa sababu za kisiasa au maandishi yanatudanganya?
pengine nikirudi nitaweza kuwabadilishia mdundo wa hadithi
unamchukiaje mwanao aliyekuwa mstari wa mbele kuilinda familia ya kifalme nyakati za uvamizi wa japan (imjin war), muda ambao baba amekimbia nchi yeye bwana mdogo amebaki ikulu (as the defacto ruler) kana kwamba haiogopi bunduki ya katoo kiyomasa na konishi.
hata huyo Injo waliyemuweka madarakani alikuwa kama panya mpunga tu mbele ya wanasiasa wenye uchu waliomuweka madarakani
huwezi kuwaongoza watu wanaokuchukia, kibaya zaidi ni watu unaowategemea wakupe msaada wa kiutawala.
chini ya utawala wa gwanghaegun ndio kiliandikwa kitabu cha tiba ya mashariki (dongui bogam), ukiangalia hur jun dramas (zote mbili utamfahamu kiundani huyo legendary hur jun na mikono iliojaa baraka ya utabibu)
Gwanghae aliangushwa na utabaka wa kisiasa (factions), hayo mengine ni viongezeyo tu.
==============
chawa wa ganghaegun amezungumza,
kutoka gereza la kiinua mgongo hapa jang'ombe uwanja wa punda
[emoji23][emoji23][emoji23] hicho chakula ulichoandika mbona sijawahi kukisikia. Halafu inaonekana ilikuwa sio mara ya kwanza kuongea kuhusu hizo containers kwenye interview maana mtangazaji aliuliza 'hajarudisha mpaka leo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] V akasema hajarudisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani. Wana reality nilipost picha asubuh wapo marafiki sita V,woo shik,seo jun,hyung sik. etc Naona Kila alipo actor mmoja kati ya hao watatu na V anakuwepo.
Na kwenye hii reality woo shik alisema Tae anapenda sana tambi kila akienda kumtembelea kazi yake kula tambi,saiv katoka kwenye janjamieon kwenda malkagusu sijui nimepatia spelling (sijaenda google)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hicho chakula ulichoandika mbona sijawahi kukisikia. Halafu inaonekana ilikuwa sio mara ya kwanza kuongea kuhusu hizo containers kwenye interview maana mtangazaji aliuliza 'hajarudisha mpaka leo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] V akasema hajarudisha.
[emoji1787][emoji1787] aah mi sijui bwana maana wakorea tambi zina majina kibao...kutegemea zimepikwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni tambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hicho chakula ulichoandika mbona sijawahi kukisikia. Halafu inaonekana ilikuwa sio mara ya kwanza kuongea kuhusu hizo containers kwenye interview maana mtangazaji aliuliza 'hajarudisha mpaka leo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] V akasema hajarudisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani. Wana reality nilipost picha asubuh wapo marafiki sita V,woo shik,seo jun,hyung sik. etc Naona Kila alipo actor mmoja kati ya hao watatu na V anakuwepo.