Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Taejong yi bang won: king of tears
Jing bi rok : the memoir of imjin war.
Age of warriors.
Dae jo yeong
Admiral yi sun shin
King geunchogo.

Comrades drama - vita ya korea.
Tunaingiaje group LA telegram?
 
Drama mpya karibu zote ni tamu ila nipo na hizi

Heartbeat
Numbers
King The Land
See You In My 19th Life
 
Kheri ya sikukuu ndugu zangu.
Screenshot_20230627-171531_Chrome.jpg
 
[emoji38][emoji38][emoji38] unanifanya nianze kuipakua wakati nilikuwa nasubiria iishe

Yani ungejua ninavyoteseka acha tu, nilikaa muda mrefu bila kupakua drma yoyote ya Korea baada ya kukosa project nzuri kwahiyo nilivyoona humu mtu anasema ni kali ikabidi niipakue, nimeangalia episode 4 zote zimeniacha na alosto kali kusubiria mpaka weekend.

Jana nikawaza eti nisiidownload tena mpaka iishe, ila kwa jinsi ambavyo sina nyingine ya kunipotezea muda, sidhani kama roho itatulia😂😂
 
Yani ungejua ninavyoteseka acha tu, nilikaa muda mrefu bila kupakua drma yoyote ya Korea baada ya kukosa project nzuri kwahiyo nilivyoona humu mtu anasema ni kali ikabidi niipakue, nimeangalia episode 4 zote zimeniacha na alosto kali kusubiria mpaka weekend.

Jana nikawaza eti nisiidownload tena mpaka iishe, ila kwa jinsi ambavyo sina nyingine ya kunipotezea muda, sidhani kama roho itatulia[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] polee ngoja mimi nisubiri walau zifike 10
 
Back
Top Bottom