Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Ndo maana nikashangaa maana character yake ilipotea tuuh ,Huyo nae alikutwa na skendo
Ali drive akiwa kalewa sijui akagonga nini
Basi wakamcancel so hakumalizia iyo shoot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nikashangaa maana character yake ilipotea tuuh ,Huyo nae alikutwa na skendo
Ali drive akiwa kalewa sijui akagonga nini
Basi wakamcancel so hakumalizia iyo shoot
Sema couple ya Hee-ji na Pyeong-seok nzuri sana dogo naye alikuwa na aibu mwanzo ila ndio alikuwa wa kwanza kumfungukia mtoto wa kike na taratibu kijana anaanza kuwa mjanja hajazubaa kama Jung-yun.Amesema hajawah kutongoza (mwanzon kabla ji woo hajaja alikua ananichekesha)
We unavyoona ji woo ataweza kumpotezea
Ona ile michozi maana ilibid nicheke
Mi nlidhan ndo wale ma popular kazi kucheza na akili za wanaume ila kumbe kamzimikia mchizi
Jung hyun handsome sana
Ungemsema ji min anavyosusa susa ingawa nimeipenda condition alompa ye rin
Sema couple ya Hee-ji na Pyeong-seok nzuri sana dogo naye alikuwa na aibu mwanzo ila ndio alikuwa wa kwanza kumfungukia mtoto wa kike na taratibu kijana anaanza kuwa mjanja hajazubaa kama Jung-yun.
Hee-ji bila shaka alifall kwa kijana at first sight maana tangu afike wakawa wanakaa pamoja alikuwa anajaribu kumchangamisha
Dogo ana akili za kitoto bado anapenda kwa Ji-woo ambapo anaweza kutoka kapa wakati Yerin yupo na anampenda kijana hadi analiaHee ji alivyo na furaha utasema ndo wanaoana sasa
Pyeong seok amelipokea vizuri ingawa nawaza kama kidogo ameanza kusita
Hamna mtu namfikilia kama sung woon obviously yule mdada hamwelew ila haoni
Player so yeon anajikutaje
Naomba link yenye mnadownload full episodes bila paymentDogo ana akili za kitoto bado anapenda kwa Ji-woo ambapo anaweza kutoka kapa wakati Yerin yupo na anampenda kijana hadi analia
Nimeona piaUsinikumbushe[emoji24]
Yan kama namuona alivokua mpole Vile
Alipoteza deals kibao shwt bae[emoji2960]
Nimeona ana movie sijui drama mpya
Naomba link yenye mnadownload full episodes bila payment
Dogo ana akili za kitoto bado anapenda kwa Ji-woo ambapo anaweza kutoka kapa wakati Yerin yupo na anampenda kijana hadi analia
Ume iangalia??
Ikitoka nijuze-----UPCOMING KOREAN MOVIE-----
A Man of Reason (2023)
Soo Hyuk who spent 10 years in jail covering for his boss, is finally released. After learning that, during his time on the inside, he has become the father of a baby girl, Soo Hyuk wants to live a normal life with his former girlfriend, Min-seo, and their daughter, In-bi, and cut his ties with the criminal world. But the boss doesn't want to release Su-hyuk. The boss hires an assassin to silence him and the hitman holds Soo Hyuk's daughter hostage.
Casts:
Jung Woo Sung
Kim Nam Gil
Park Sung Woong
Park You Na
Kim Joon Han
Lee Elijah
Director: Jung Woo Sung
Genres: Action, Drama
Release Date: Aug 15, 2023
View attachment 2703084
View attachment 2703086
Franky Samuel,
Nikikumbuka fresh💪Ikitoka nijuze
Sio kwamba story kali zinakua zimeisha mkuu?River where moon rises(2021) ndio historical drama yangu nilioiona ya miaka ya karibuni. ilinifurahisha na walijitahidi kuifanya vizuri. Sasa hivi nimeianza The Great merchant(2010).
View attachment 2703443
ndani ya dk 16 tu za episode ya kwanza zilitosha kuniaminisha kuwa ni bora kuliko drama niliyoitazama mara ya mwisho.
Then shida iko wapi? Why vitu vya zamani vinaonekana kuwa bora kuliko vya sasa? Jibu ni raising kuwa miaka inavozidi kwenda binadamu uwezo wao unapungua wh?. Because we have increased to outsourcing our thinking to technology, mfano matumizi ya A.I, online translation na mengineyo, kifupi sana kwa kadri technology inavyokua ndio uwezo wa binadamu unazidi kupungua kwa sababu hatutumii tena vichwa kuleta solution bali ni technology ndio solve problems. Akili, ubunifu na mengineyo yaliyo ndani yetu huongezeka kwa kadri tunyotumia kinyume chake ni sahihi. Mfano mchukue mtu wa miaka 2000 iliyopita na mtu wa miaka hii wake problem wasolove kwa vichwa vyao utajionea utofauti. Maana kuna mmoja hapo bila devices hawezi lolote. Nadhani hii ndio sababu miaka hii kupata drama tamu kama Haeshin( Emperor of see) ni kazi. Nasema tena drama za zamani ni tamu ndugu zangu. Naheshimu sana wanachofanya generation ya sasa ni kweli kuwa human are fixed.
Ngoja niendelee na kigongo change kipya hiki nipo mwaka 2010 baada ya kutoka 2021.
Ni nzuri? Mimi niliipakua nikaona siielewi nikafutaWakorea sa ingine siwaelewi,kuna drama inaitwa soundtrack main lead ni yule dada alocheza nevertheless na mkaka ni yule wa strong girl do bong soon nadhani,ina story nzuri very romantic but imeishia episode 4 tu!
Yani sijawaelewa kabisa intention yao hapa,
Kama unapenda romantic drama basi utaipenda hakikaNi nzuri? Mimi niliipakua nikaona siielewi nikafuta
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app