Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Amesema hajawah kutongoza (mwanzon kabla ji woo hajaja alikua ananichekesha)

We unavyoona ji woo ataweza kumpotezea
Ona ile michozi maana ilibid nicheke

Mi nlidhan ndo wale ma popular kazi kucheza na akili za wanaume ila kumbe kamzimikia mchizi

Jung hyun handsome sana
Ungemsema ji min anavyosusa susa ingawa nimeipenda condition alompa ye rin
Sema couple ya Hee-ji na Pyeong-seok nzuri sana dogo naye alikuwa na aibu mwanzo ila ndio alikuwa wa kwanza kumfungukia mtoto wa kike na taratibu kijana anaanza kuwa mjanja hajazubaa kama Jung-yun.

Hee-ji bila shaka alifall kwa kijana at first sight maana tangu afike wakawa wanakaa pamoja alikuwa anajaribu kumchangamisha
 
Hee ji alivyo na furaha utasema ndo wanaoana sasa
Pyeong seok amelipokea vizuri ingawa nawaza kama kidogo ameanza kusita

Hamna mtu namfikilia kama sung woon obviously yule mdada hamwelew ila haoni

Player so yeon anajikutaje
 
Dogo ana akili za kitoto bado anapenda kwa Ji-woo ambapo anaweza kutoka kapa wakati Yerin yupo na anampenda kijana hadi analia
 
Ye rin alijikuta mgumu[emoji16]
Kiplayer kile
Na hata ji woo hampend sana basi tu
Yule dollface ndo hana bahati au
 
Average hata sijaimalizia bado
Basi kaangalie blood hounds
Bloodhounds_(South_Korean_TV_series).jpg
 
-----UPCOMING KOREAN MOVIE-----

A Man of Reason (2023)

Soo Hyuk who spent 10 years in jail covering for his boss, is finally released. After learning that, during his time on the inside, he has become the father of a baby girl, Soo Hyuk wants to live a normal life with his former girlfriend, Min-seo, and their daughter, In-bi, and cut his ties with the criminal world. But the boss doesn't want to release Su-hyuk. The boss hires an assassin to silence him and the hitman holds Soo Hyuk's daughter hostage.

Casts:
Jung Woo Sung
Kim Nam Gil
Park Sung Woong
Park You Na
Kim Joon Han
Lee Elijah

Director: Jung Woo Sung
Genres: Action, Drama
Release Date: Aug 15, 2023
FB_IMG_16907224042376433.jpg

FB_IMG_16907233441954329.jpg

Franky Samuel,
 
Kwa wale wanaopenda Thriller/ Action au drama za Kijasusi, ipi ni kali zaidi? Naomba unipe 5 zako za moto zaidi
1. Vagabond
2. Iris
3. A man Called God
4. Fugitive Plan B
5. 3 days

City hunter
The Veil
Healer
The K2
Golden cross

Kim_Tae-Hee-p6.jpg
 
River where moon rises(2021) ndio historical drama yangu nilioiona ya miaka ya karibuni. ilinifurahisha na walijitahidi kuifanya vizuri. Sasa hivi nimeianza The Great merchant(2010).
images.jpeg

ndani ya dk 16 tu za episode ya kwanza zilitosha kuniaminisha kuwa ni bora kuliko drama niliyoitazama mara ya mwisho.
Then shida iko wapi? Why vitu vya zamani vinaonekana kuwa bora kuliko vya sasa? Jibu ni raising kuwa miaka inavozidi kwenda binadamu uwezo wao unapungua wh?. Because we have increased to outsourcing our thinking to technology, mfano matumizi ya A.I, online translation na mengineyo, kifupi sana kwa kadri technology inavyokua ndio uwezo wa binadamu unazidi kupungua kwa sababu hatutumii tena vichwa kuleta solution bali ni technology ndio solve problems. Akili, ubunifu na mengineyo yaliyo ndani yetu huongezeka kwa kadri tunyotumia kinyume chake ni sahihi. Mfano mchukue mtu wa miaka 2000 iliyopita na mtu wa miaka hii wake problem wasolove kwa vichwa vyao utajionea utofauti. Maana kuna mmoja hapo bila devices hawezi lolote. Nadhani hii ndio sababu miaka hii kupata drama tamu kama Haeshin( Emperor of see) ni kazi. Nasema tena drama za zamani ni tamu ndugu zangu. Naheshimu sana wanachofanya generation ya sasa ni kweli kuwa human are fixed.
Ngoja niendelee na kigongo change kipya hiki nipo mwaka 2010 baada ya kutoka 2021.
 
-----UPCOMING KOREAN MOVIE-----

A Man of Reason (2023)

Soo Hyuk who spent 10 years in jail covering for his boss, is finally released. After learning that, during his time on the inside, he has become the father of a baby girl, Soo Hyuk wants to live a normal life with his former girlfriend, Min-seo, and their daughter, In-bi, and cut his ties with the criminal world. But the boss doesn't want to release Su-hyuk. The boss hires an assassin to silence him and the hitman holds Soo Hyuk's daughter hostage.

Casts:
Jung Woo Sung
Kim Nam Gil
Park Sung Woong
Park You Na
Kim Joon Han
Lee Elijah

Director: Jung Woo Sung
Genres: Action, Drama
Release Date: Aug 15, 2023
View attachment 2703084
View attachment 2703086
Franky Samuel,
Ikitoka nijuze
 
River where moon rises(2021) ndio historical drama yangu nilioiona ya miaka ya karibuni. ilinifurahisha na walijitahidi kuifanya vizuri. Sasa hivi nimeianza The Great merchant(2010).
View attachment 2703443
ndani ya dk 16 tu za episode ya kwanza zilitosha kuniaminisha kuwa ni bora kuliko drama niliyoitazama mara ya mwisho.
Then shida iko wapi? Why vitu vya zamani vinaonekana kuwa bora kuliko vya sasa? Jibu ni raising kuwa miaka inavozidi kwenda binadamu uwezo wao unapungua wh?. Because we have increased to outsourcing our thinking to technology, mfano matumizi ya A.I, online translation na mengineyo, kifupi sana kwa kadri technology inavyokua ndio uwezo wa binadamu unazidi kupungua kwa sababu hatutumii tena vichwa kuleta solution bali ni technology ndio solve problems. Akili, ubunifu na mengineyo yaliyo ndani yetu huongezeka kwa kadri tunyotumia kinyume chake ni sahihi. Mfano mchukue mtu wa miaka 2000 iliyopita na mtu wa miaka hii wake problem wasolove kwa vichwa vyao utajionea utofauti. Maana kuna mmoja hapo bila devices hawezi lolote. Nadhani hii ndio sababu miaka hii kupata drama tamu kama Haeshin( Emperor of see) ni kazi. Nasema tena drama za zamani ni tamu ndugu zangu. Naheshimu sana wanachofanya generation ya sasa ni kweli kuwa human are fixed.
Ngoja niendelee na kigongo change kipya hiki nipo mwaka 2010 baada ya kutoka 2021.
Sio kwamba story kali zinakua zimeisha mkuu?
 
Wakorea sa ingine siwaelewi,kuna drama inaitwa soundtrack main lead ni yule dada alocheza nevertheless na mkaka ni yule wa strong girl do bong soon nadhani,ina story nzuri very romantic but imeishia episode 4 tu!
Yani sijawaelewa kabisa intention yao hapa,
 
Ni nzuri? Mimi niliipakua nikaona siielewi nikafuta

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom