miamia100
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 416
- 479
Iko on fireKuna mtu ameniambia niangalie hii MOVING View attachment 2757331
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko on fireKuna mtu ameniambia niangalie hii MOVING View attachment 2757331
Aramun haesulla alikuwa ni Igutu
Kuna mtu ameniambia niangalie hii MOVING View attachment 2757331
Nadhani dramacool utapata drama karibia zote za Mashariki ya mbali.Hivi chinese drama huwa mnazipata kwenye website gani?
Vagabond naisubiri kwa hamu sana aiseh, itakuwa vizuri sana kama wataifanya wakati ambao haitawalazimu wao kubadili main characters kutokana na sababu mbalimbali, ikitokea wamewabadilisha itapoteza mvuto.Na bado tunasubiri vagabond 2 ata wakiitoa 2090 tukiwa hai tutaingalia[emoji23]
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Jina.Kalii sana
View attachment 2747703
Huyu Deok Man nilimkubali sana.View attachment 2748401
Acha kaka unaanzaje kulinganisha hiyo sura na vitu vya ajabu!!. Katika wakorea ambao nishawaona huyu kwangu ndio Most beautiful Utamkuta kwenye Dong Yi kama Queen Inhyeon pia 3 Days kacheza n.k anaitwa Park Ha Sun
View attachment 2748402View attachment 2748403
Acha kabisa huyu. Anaitwa Park Joo Mi
Utamkuta kwenye Hur Jun ndie alikuwa Queen, pia Deok Man kwenye Emperor's Dream
View attachment 2748404
Haka ka dada acha kabisa
Utakakuta kwenye Waikiki zote na pia The Merchant Gaekju n.k
Anaitwa Moon Ga Young yaani napenda anvyotabasamu
Don't mess with sura kaka.
Sema kuna namna fulani hivi Lee Bang Won alikuwa na tamaa sana ya madaraka, kwa kiwango kikubwa sana alionyesha ali ya kupigania sana mpango wa kuiangusha Goryeo baada ya kugundua kuwa baba yake ndiye atakaekuwa mfalme, akiwa na target ya kuwa Kinga anaefuata.Bang won aliwaua wale watoto kambo wa babake wawili.
Ila kaka zake wa damu alikuwa anawapenda sana
Bang Ga
Bang gwa
Bang ui
na kaka yao mkubwa alisusa kuunga mkono joseon dynasty. Alibaki kuwa loyal Kaa goryeo dynasty.
Jamaa aliua mashemeji zake wote wake na WA mtoto wake Sejong the great kisa mashemeji Wana manipulate crown princes kwa faida zao.
Akikataza kabisa kushare madaraka na mkewe alimwambia madaraka yake yeye akihitajika ndio awepo otherwise ashone mavitambaa tu hekaluni[emoji1787]
Ukijidai unampinga tu atakutafutia sababu anakupoteza kihalali kabisa bila mikono yake kuchafuka.
Lee bang won KING TAEJONG .
Moving inaitwa movingJina.
Nakupa recommendationHivi chinese drama huwa mnazipata kwenye website gani?
Kazi dume hiyoThe Goryeo Khitan war drama
View attachment 2760896
Vinanogesha sana.Mvaa Kobazi mi napenda jinsi ma producer, Wanavyo tuwekea hivi vi actor vitoto🤣😂.
👉Kile Cha kwenye tale of nokdu
👉Na hiki Cha kwenye river where the moon rises - vina chekesha😂🤣
Hicho Cha kike Kama naki jua, hebu taka drama zake😀Vinanogesha sana.
Kwenye hii picha chini hivi vitoto umevitambua? viliigiza drama nyingi sasa hivi vimekua.View attachment 2761262
Mkuu unamsahau vipi huyo wa kike kaigiza drama nyingi zamani kama mtoto.Hicho Cha kike Kama naki jua, hebu taka drama zake😀
Huyo wa kike long time kwenye game😂Mvaa Kobazi hicho Cha kike, haki kuigiza ile tamthilia mama yake sijui ni gumiho au fox??