Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

HUNT - 2022
The film deals with three major historical events in the 1980s; the May 18 Gwangju Democratization Movement (1980), the defection of North Korean pilot Lee Woong-pyung (1983), and the Aung San terrorist attack (1983).

Park Pyung-Ho (Lee Jung-Jae) and Kim Jung-Do (Jung Woo-Sung) are agents for the National Security Agency. They are both elite at their jobs and rivals. The two men chase after a North Korean spy director sent to South Korea. They soon uncover a hidden truth.
===================
wale wanaopenda kazi za idara ya ujasusi piteni hapa, mufahamu mbivu na mbichi ya baadhi yanayofanyika huko ndani. Unadhani kila mtumishi wa serikalini ni muumini wa sera za raisi aliyepo madarakani licha kuapa kwake kumtumikia bwana /bibi huyo?

pale wahuni wa idara tatu tofauti wanaposuka mipango ya kumsambaratisha kionhgozi aliyepo madarakani, pale wahuni wa kitengo wanapotafutana wenyewe kwa wenyewe.
kazi nyengine zikupite kushoto, ni umbeya na ufisadi usiosemwa.

lee jung jae, jung woo sung, jeon hye jin, heo sung tae, Go youn jung, hwang jung min, kim nam gil, ju ji hoon.

Baadhi ya A list actors utakaowaona humu ndani japo kwa dakika moja.
mabachela sugu wamekutana humu ndani.
View attachment 2883407
Inaonekana itakuwa ni [emoji91][emoji91] balaa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
unamaanisha bibi yako bado ni mrembo na anapaka makeup mfano wa huyu?

kumbe mwenzetu una bibi bomba.
nipe namba yake ya simu tafadhali.
nipiganie mirathi dhidi yako
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo nilizungumzia habari za urembo na kupaka makeup, nilichosema ni uongeaji, kimo na sauti.
 
CAPTIVATING THE king ni ongoing historical drama, ina episode mbili ila inaonekana ni ya moto sana.
 
Hakuna sehemu yoyote ile ambayo nilizungumzia habari za urembo na kupaka makeup, nilichosema ni uongeaji, kimo na sauti.
nongdam nongdam (농담 )
ni utani brother, kama nimevuka mipaka......
mianhae
 
kiupande wangu nimeipenda,
imenipa mzuka wa kumfuatilia jung woo sung (mkataa ndoa) hususani upande wa movie.
nilidhani maisha yako wewe ni YANGA na PUTIN.
kumbe hata korea unafika
Huku nipo Mzee....Tena hapa nipo nipo kushusha series Huku nkiri.com .....na hiki kitonga Cha voda[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
the battle roar to victory - 2019
Over a 4 day period, a fierce battle takes place between Korean independence militias and Japanese forces in Manchuria, China. The militia includes Hwang Hae-Cheol (Yu Hae-Jin), who is a master with the sword, and Lee Jang-Ha (Ryoo Joon-Yeol), who is an expert marksman.
===========
hii movie inatokanwa na simulizi ya kweli
kilichonishangaza humu ndani ni kuwaona waigizaji wa kijapani tena wamekubali kushiriki kwenye hii movie upande wa villains.

kuna mshikaji fulani aliigiza uhusika wa general wa japan aliitwa Miura kwenye movie ya IP MAN 1 ya donnie yen, humu ndani utamuona na vazi lake la kijapan, jina lake halisi anaitwa Hiroyuki Ikeuchi.

japan alimtandika china, korea na nyakati fulani alimtandika RUSSIA.
jamani walikuwa ni wanaume kweli kweli licha ya udogo wa nchi yao
laiti kama ubora wa mtu unapimwa kwa sura yake pengine leo hii dunia isingelimpa heshima bwana YU HAE JIN.
Ni muigizaji wa ukweli
1706384339243.png
 
Forbidden Dream
A 20 year relationship exists between King Sejong (Han Suk-Kyu) and Jang Yeong-Sil (Choi Min-Sik). They invent various devices for astronomical observation. Due to a case, Jang Yeong-Sil is discharged from office and he disappears completely.
============
hadithi ya sejong na jang yeong sil ni kama vile hadithi ya romeo na julieth, au yule bwana mwenye maguvu na delilah.
watu wawili walioiona korea ya mbeleni, mmoja akiwa ni mtumwa na mwengine akitokea familia ilioshikilia nguvu na mustakabali wa taifa changa.
vigingi, vikwazo, vitisho hawakuacha kupambana navyo katika kuzifikia ndoto zao.
1706384842525.png
 
Habari Chingu,
Kitambo sijachangia humu jukwaani,2024 imeanza vizuri baadhi ya drama kali zishatoka na zinginezo zinakuja

Hizi drama za Side country zina vibe flani hivi ya kipekee( Nimemalizana na Welcome to Samdaril,imekuwa project yangu ya kwanza kuimaliza kwa mwaka 2024)

Natarajia kuanza Doctor Slump,mara nyingi drama yenye medical huwa navutiwa nazo,huku niiendelea kufata recommendation za wengine.

Hivi ni kweli? Inasadikika drama nyingi zilizotoka mwaka 2016 na 2018 ndio bora zaidi katika industry ya drama za korea?
 
Ila Wakorea wanaotizama LTNS [emoji18]
Ingawa ni nje na taaratibu zao lakin kiukweli naona wame address kiutu uzima..
 
Ila Wakorea wanaotizama LTNS [emoji18]
Ingawa ni nje na taaratibu zao lakin kiukweli naona wame address kiutu uzima..
Hawana shida na hilo wasichotaka ni zile nude scenes na extreme sexual contents

But hiyo LTNS huwezi kuona drama kama hiyo kwa zile TV networks kubwa kwa sababu za kimaadili
 
Habari Chingu,
Kitambo sijachangia humu jukwaani,2024 imeanza vizuri baadhi ya drama kali zishatoka na zinginezo zinakuja

Hizi drama za Side country zina vibe flani hivi ya kipekee( Nimemalizana na Welcome to Samdaril,imekuwa project yangu ya kwanza kuimaliza kwa mwaka 2024)

Natarajia kuanza Doctor Slump,mara nyingi drama yenye medical huwa navutiwa nazo,huku niiendelea kufata recommendation za wengine.

Hivi ni kweli? Inasadikika drama nyingi zilizotoka mwaka 2016 na 2018 ndio bora zaidi katika industry ya drama za korea?
Hata za 2020-2023 zilifanya vyema katika industry yao,hiyo ya 2016 na 2018 maybe ni sawa ila imekuwa hyped sana na international fans
 
Back
Top Bottom