Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hao madogo wamekuja kuwa actors wazuri sana ukubwani.View attachment 2899690
Japo ya kitambo ila inamambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao madogo wamekuja kuwa actors wazuri sana ukubwani.View attachment 2899690
Japo ya kitambo ila inamambo
Itakuwa tamu kwqnza ndani kuna Suho wa EXO na new actress Hong Ye Ji ambaye currently tunamuangalia kwenye Love Song For IllusionWale wa penzi wa movie za kihistoria tunafwatilia mzigo huu hapa
View attachment 2899771
Tukimaliza march 9 mzigo unao kuja ni huu hapa
View attachment 2899773
The missing crown prince
Bila shaka anasemea Our Blooming YouthUna uhakika kuwa vipande vyake ni vya dk 17, au source yako ndio ilikuwa inavikata.?
Iwe na mapanga ndo jambo la msingi sipendi maneno mengiItakuwa tamu kwqnza ndani kuna Suho wa EXO na new actress Hong Ye Ji ambaye currently tunamuangalia kwenye Love Song For Illusion View attachment 2899794
Historical drama Kwangu hata ikiwa story tamu tu inatosha mapanga ni extravagant kama The King's Daughter Soo Baek HyangIwe na mapanga ndo jambo la msingi sipendi maneno mengi
Leta posterMwenye link ya hii series imetoka Mwaka Jana 2023 "The Cursed Prince" vipande vyake ni vya dakika 17.
Now kuna anayekuja moto Shin Ye Young kuja moja inaitwa Be There ipo kwenye Missing:The Other Side, huyu huwa nasikiliza sana ballads zake mbalj na OSTMoja kati ya wasanii wenye OST kali kwenye drama nyingi nadhani ni YOARI. Alinipigia REASON kwenye drama ya "THE VEIL", mwaka huu kafanya kazi ya moto sana kwenye drama ya "MY DEMON"
TRUE by YOARI, My demon OST.
View attachment 2899948
[emoji91][emoji91]
Kiukweli nazidi kuzama kwenye dimbwi la korean entertainment. Yaani nimekuwa muraibu wa drama zao, muziki na tamaduni zao, kitu pekee ambacho kimenishinda ni siasa zao tu.Now kuna anayekuja moto Shin Ye Young kuja moja inaitwa Be There ipo kwenye Missing:The Other Side, huyu huwa nasikiliza sana ballads zake mbalj na OST
But Baek Ji Young,Gummy na Lyn hawa ndio Queens
Hujakutana na mwamba hapa mwaka wa 11 huu nipo based na Korean things tu sina interest na wazungu ama wengineo[emoji38][emoji38]Kiukweli nazidi kuzama kwenye dimbwi la korean entertainment. Yaani nimekuwa muraibu wa drama zao, muziki na tamaduni zao, kitu pekee ambacho kimenishinda ni siasa zao tu.
Imefikia hatua natamani sana nipate nafasi ya kutembelea huko, na kama nitaendelea kuwa mzima LAZIMA nifike.
swala la lugha yao nadhani nipo 20% kwenye kuitafuta competence.
Ninaelekea huku.Hujakutana na mwamba hapa mwaka wa 11 huu nipo based na Korean things tu sina interest na wazungu ama wengineo[emoji38][emoji38]
Lugha yao nishamaster kitambo nina marafiki kadhaa nainteract nao sana X na Insta.View attachment 2899982
Yah karibia pia kuna variety showsNinaelekea huku.
Nilikuwa mfuatiliaji wa wa Chinese dramas, ila kwasasa acha ni dedicate muda wangu kwa wakorea. Insta yangu sasahivi 70% ya timeline yangu ni Korea, na mambo ya bongo ntakutana nayo X huko.Yah karibia pia kuna variety shows
Sema katikati ya wiki now huwa nagusa Chinese dramas kuna moja nipo nacheki ya Luo Jin inaitwa Royal Nirvana ina stress kama zote
Ule mtiti wa barabaran Hadi kufika airport sio poaaEscape from Mogadishu
The film, based on real events, is set during the overthrow of Siad Barre and the two Koreas' efforts to be admitted to the United Nations in the late 1980s and early 1990s. It depicts details of a perilous escape attempt made by North and South Korean embassy workers stranded during the conflict.
===============
siasa za kipumbavu za mabeberu zimeleta utengano wa kifamilia, finally nimependa jinsi ndugu hawa wawili walipoamua kuweka kando tofauti zao za kiitikadi kwa dhumuni la kupigania uhai wao
View attachment 2901254
kiuhalisia wale hawatoboi ila ndio imeshaitwa movie.Ule mtiti wa barabaran Hadi kufika airport sio poaa
kiuhalisia wale hawatoboi ila ndio imeshaitwa movie.
teh teh teh