Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wale wa penzi wa movie za kihistoria tunafwatilia mzigo huu hapa
Screenshot_20240205-105159.png

Tukimaliza march 9 mzigo unao kuja ni huu hapa
Screenshot_20240210-152654.png

The missing crown prince
 
Moja kati ya wasanii wenye OST kali kwenye drama nyingi nadhani ni YOARI. Alinipigia REASON kwenye drama ya "THE VEIL", mwaka huu kafanya kazi ya moto sana kwenye drama ya "MY DEMON"

TRUE by YOARI, My demon OST.

🔥🔥
 
View attachment 2899948
[emoji91][emoji91]
Now kuna anayekuja moto Shin Ye Young kuja moja inaitwa Be There ipo kwenye Missing:The Other Side, huyu huwa nasikiliza sana ballads zake mbalj na OST

But Baek Ji Young,Gummy na Lyn hawa ndio Queens
 
Kiukweli nazidi kuzama kwenye dimbwi la korean entertainment. Yaani nimekuwa muraibu wa drama zao, muziki na tamaduni zao, kitu pekee ambacho kimenishinda ni siasa zao tu.

Imefikia hatua natamani sana nipate nafasi ya kutembelea huko, na kama nitaendelea kuwa mzima LAZIMA nifike.

swala la lugha yao nadhani nipo 20% kwenye kuitafuta competence.
 
Hujakutana na mwamba hapa mwaka wa 11 huu nipo based na Korean things tu sina interest na wazungu ama wengineo[emoji38][emoji38]

Lugha yao nishamaster kitambo nina marafiki kadhaa nainteract nao sana X na Insta.
20240210_002432.jpg
 
Yah karibia pia kuna variety shows

Sema katikati ya wiki now huwa nagusa Chinese dramas kuna moja nipo nacheki ya Luo Jin inaitwa Royal Nirvana ina stress kama zote
Nilikuwa mfuatiliaji wa wa Chinese dramas, ila kwasasa acha ni dedicate muda wangu kwa wakorea. Insta yangu sasahivi 70% ya timeline yangu ni Korea, na mambo ya bongo ntakutana nayo X huko.
 
Badland Hunters (2024)
When an earthquake turns Seoul into a lawless badland, a fearless huntsman goes on to rescue a teenager from a mad doctor who held the teenager captive in a camp full of dangerous cultists.
==============

ma dong seok anavyojua kuitumia fursa ya mwili wake,
actions konki master.

1707629131968.png
 
Escape from Mogadishu
The film, based on real events, is set during the overthrow of Siad Barre and the two Koreas' efforts to be admitted to the United Nations in the late 1980s and early 1990s. It depicts details of a perilous escape attempt made by North and South Korean embassy workers stranded during the conflict.
===============
siasa za kipumbavu za mabeberu zimeleta utengano wa kifamilia, finally nimependa jinsi ndugu hawa wawili walipoamua kuweka kando tofauti zao za kiitikadi kwa dhumuni la kupigania uhai wao
1707683332187.png
 
View attachment 2901254
Ule mtiti wa barabaran Hadi kufika airport sio poaa
 
Back
Top Bottom