Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Ule u cute na ni watu wa 30’s hauna uhalisia hata kama hawana experience ya mapenzi
Mimi naona park hyungshik amekonda sana hata nguo hazimpendezi humo, nimeitazama vile sikuwa na drama ila nipo hapo ep ya 13 nimerukia flex x cop
Kuna actors u-cute hauwapendezi tu,haijalishi umri
Song kang anaenda 30 lakini ana ucute fulani hivi sio wa kufosi
Shin Mina anakaribia 40 lakini akiact cute anapendeza kweli kweli