Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ule u cute na ni watu wa 30’s hauna uhalisia hata kama hawana experience ya mapenzi

Mimi naona park hyungshik amekonda sana hata nguo hazimpendezi humo, nimeitazama vile sikuwa na drama ila nipo hapo ep ya 13 nimerukia flex x cop

Kuna actors u-cute hauwapendezi tu,haijalishi umri
Song kang anaenda 30 lakini ana ucute fulani hivi sio wa kufosi
Shin Mina anakaribia 40 lakini akiact cute anapendeza kweli kweli
 
Knight flower sijui kwanini naionea uvivu...nafikiri nina zaidi ya wiki mbili tangu niipakue lakini hadi sasa nipo episode ya 4

Mie huwa sipendelei sana historical drama lakini lovesong for illusion na captivating the king nimenyoosha mikono,ni nzuri mno
Subtitles zikichelewa ama zikiwahi zinakata stimu kiukweli

Flex x cop na queen of tears naiona kwenye list lakini hazinivutii kuangalia...ni nzuri?
Flex ina ukawaida ila nzuri nzuri
Queen of tears ni nzuri na inaonesha itakua nzuri zaid ila ndo ongoing sasa alaf wale daebak actors wapo wengi so ina assurance ya kuwa nzuri

Itakua napenda historical ila zisizobase kwenye siasa sana, kwa huu mwaka hiyo ndo namba moja yangu eti
 
Wal
Kuna actors u-cute hauwapendezi tu,haijalishi umri
Song kang anaenda 30 lakini ana ucute fulani hivi sio wa kufosi
Shin Mina anakaribia 40 lakini akiact cute anapendeza kweli kweli
Wamezidisha mno nao
Au na zile kunywa na wako kwenye medication eeh wakorea na soju, yan ni healing drama ila unaweza pata ugonjwa mpya 🤣🙌🏾
 
Shin Min-a ni moja kati ya actress ninaowakubali sana, bila kusahau aliyecheza MrQueen na Samdalri (nimesahau jina lake).
Kuna actors u-cute hauwapendezi tu,haijalishi umri
Song kang anaenda 30 lakini ana ucute fulani hivi sio wa kufosi
Shin Mina anakaribia 40 lakini akiact cute anapendeza kweli kweli
 
Hivi hapa Tz kuna maduka yanayouza KOPIKO, au brand nyingine yoyote ambayo ni substitute yake?

Tumetoka kwenye SUBWAY tumekuja kwenye KOPIKO 😁
😃🤣 ata tuonje kwakweli
Kuna vile vi energizer na lipbalm wanapaka had shingon

Subway imekuja na sijakula, naogopa izo mixer zao
 
Han Kyul umefanyaje kushusha ep 15 ya exchange? Kama unayo naomba nitumie telegram nahangaika kuishusha wiki yote majib ni 404 not found

Na inanipa moto izo coment za wadau dramanice zimevunja record kwa dating show
 
Hizi KOPIKO nazikubali sana kwa kuziona, zingekuwepo ningekuwa nimenunua tayari.

Hapo unaweza kuona ni kwa namna gani marketing yao ina nguvu kubwa.
 
Han Kyul umefanyaje kushusha ep 15 ya exchange? Kama unayo naomba nitumie telegram nahangaika kuishusha wiki yote majib ni 404 not found

Na inanipa moto izo coment za wadau dramanice zimevunja record kwa dating show
Tumia Kisstvshow.to huko ila lazima utengeneze hata account ya mchongo kulog in ili uone sehemu ya kudownload.

Aisee naona hivi sasa mambo yanaenda kubadilika Seokyung mjinga sana wivu mwingi anajikuta mgumu,uvumilivu umemshinda kuwaangalia Juwon na Yu Jung ikafika stage ya kumwambia Juwon atume text kwa Jongeun aliyeenda nae date,couple imeingiwa na mapepo kama ya kwa Nayeon na Hee Doo ugomvi kama wote Seokyung mkali sana

Namuona Yu Jung akifanya maamuzi magumu ya kutomchagua yoyote kati ya Changjin na Juwon,but natamani arudi kwa Changjin pale kwa Juwon alishasema hawezi kwenda kama jamaa hajafanya closure na ex wake
 
K

Kama unayo nitumie telegram jana nime log in kila sehem ya kudownload inakataa, wakasema haipo accesible in my country nikatumia vpn lakin hola nimedownload app kibao.

Alaf masaa matatu sio poa
 
Hivi lee san au yi san kuna sehemu inayopatikana ikiwa na subtitles?

Sijaikatia tamaa hii drama

Masaa 3 mbona haina mb nyingi mi nimeuchukua kwa mb kama 625 na quality nzuri dramanice kule link ya za chini hebu nikutafutie link niliyochukulia
 
Hivi lee san au yi san kuna sehemu inayopatikana ikiwa na subtitles?

Sijaikatia tamaa hii drama
Hii Yi San ndio nipo nayo hapa ep 44, kwingine kote nilikuwa naipata bila subtitles ila DRAMACOOL ipo na subtittles. Changamoto ni MBs hazieleweki, kuna eps zina 100-500.

Drama nzuri sana hii.
 
Tatizo la dramacool ninayoipata nikizidownload kwa simu hazikubali kuplay popote pale zaidi ya kwenye browser niliyotumia kuzidownoad episode hizo

Wow ntaongeza bidii kuisaka niiangalie na mie

Mimi drama zote naangalizia kwenye simu, natumia VLC na haijawahi kukataa.

Yeah, itafute hautajutia bundle lako ina plot twisting za kutosha.
 
Back
Top Bottom