Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna msiba wakuu.

South Korean singer Park Bo Ram has died yesterday XANADU Entertainment confirms. She was 30.💔 rest in peace 💔
FB_IMG_17133007426533843.jpg
 
Itavunja record kwa namna ambavyo inavyosubiriwa hapa ndio utaona tofauti ya wenzetu na sisi hapa bongo, angalia maandalizi yanavyochukua muda ili kuleta kitu kizuri sisi series ikipendwa tu tunalazimisha story iwe ndefu zaidi
Kuna chuma Cha kichina ndo kina ongozwa Kwa kusubiriwa.
Kina itwa joy of life season 2, katika mtandao wa Weibo, kina wasubiriaji milioni 13.

Huko kwingine namba ni 🔥🔥🔥, hiki chuma naki subiri Kwa hamu Sana😁
 
Kama wewe ni mpenzi wa thriller na zenye matukio basi ifuatilie hii inaitwa nothing uncovered ni bonge la series ina story nzuri na matukio yaliyopangiliwa vizuri
Vincenzo Jr
Mimi huwa nafurahishwa na kitu kimoja kutoka kwako, huwa unakuja na list ya drama ambazo ni underrated na watu wengi ila ni za moto.
 
Mimi huwa nafurahishwa na kitu kimoja kutoka kwako, huwa unakuja na list ya drama ambazo ni underrated na watu wengi ila ni za moto.
Binafsi sipatikii sana hizi zinazotrending naangalia short story yake isiponivutia siangalii.Napenda kuangalia plot ya series kwanza kabla sijaangalia ndio maana napataga vigongo vikali mno
 
Nzuri sana hizo pumzika kwa muda. Au angalia arang and the magistrate kama hujawahi iangalia
Baada ya kuimaliza missing the other side 1-2

Kila drama nnayoiangalia naiona mbaya mazee bado sija move on.
Baada ya kuimaliza missing the other side 1-2

Kila drama nnayoiangalia naiona mbaya mazee bado sija move on.
 
Love Ft Marriage and divorce drama: kama nawaona team kataa ndoa wanavyochukua points 3 muhimu.

Ndoa na visanga vyake, usijisifie ya kwamba mwenzako anakupenda wewe tu eti kwa sababu kwenye simu amekusave my only one.

Lady jay dee - usiusemee moyo wako
 
Back
Top Bottom