Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

  • Queen for seven day
  • Grand prince
  • 100 day my prince
drama fulani zenye stori nyepesi lakini hazichoshi kuziangalia, hata lile zee la test linaweza kujaribu ladha hizo.
Usisahau kuongezea MISSING CROWN PRINCE inayoendelea kila siku mbili za mwisho za wiki.

wapo wanaovutiwa na EXO Suho, mzanzibari navutiwa na binti Hong Ye Ji.
Uzuri wote hao ni mara yangu ya kwanza kuwaona kwenye tasnia ya sanaa
Nionyesheni muigizaji mzuri newcomer anayemzidi huyu binti, mimi nitawaonyesha mpemba anayefuga nguruwe.

Binti ana project mbili, zote historical, zote ni mwaka 2024, zote amekuwa muigizaji mkuu wa kike.
Unadhani ni bahati mbaya.
kama rahisi muulizeni dada mchungaji
View attachment 3004749
Huyo mtoto wa kike nampenda sana ni kama zawadi iliyoletwa kwetu fanboys 2024 moyo uliskip mapigo ndani ya Love Song For Illusion

Hii drama ya sasa naenda nayo sawa muda huu ndio naangalia episode ya 15 harakati za kumtengenezea antidote mfalme zinaendelea
 
Wadau, mmemuona Mama Korea? Hatujatendewa haki, ilibidi sisi wadau tunaoijua Korea kindakindaki tuende tukajionee kwa macho Seoul, tukanywe soju tule kimbap na kimchi.
M Z A N Z I B A R I
Bi mkubwa katutenga nilipagawa sana kuona zile gari mpya na mitambo yao Hyundai pamoja na technology ila nikaona not bad naangaliaga kwa drama[emoji16]
 
Kwa wanaotazama missing crown prince mnaeza nisaidia jina la wimbo kwenye episode ya 16 pale mwishoni ambapo king alimsuprise crown prince?
Ule wimbo unaopiga wakati unakumbatiana ndo nauhitaji!
 
Kwa wanaotazama missing crown prince mnaeza nisaidia jina la wimbo kwenye episode ya 16 pale mwishoni ambapo king alimsuprise crown prince?
Ule wimbo unaopiga wakati unakumbatiana ndo nauhitaji!

vichwa vimedata
chagua ulio sahihi kati ya hizo
 
Tunaoenda sawa na The Player 2:Master Of Swindlers tujuane[emoji847]
the-player-2-poster.jpg
 
Leo nimechill nasikiliza OST za Hwarang mara nikavutiwa zaidi na OST ya Memorizing a Spell, ikabidi nimfuatilie muimbaji jamaa anajua sana!
Jeon Woosung, hats off!
 
Wadau, mmemuona Mama Korea? Hatujatendewa haki, ilibidi sisi wadau tunaoijua Korea kindakindaki tuende tukajionee kwa macho Seoul, tukanywe soju tule kimbap na kimchi.
M Z A N Z I B A R I
Lady Jay Dee - Usiusemee Moyo
kuna wadau takribani mwezi mmoja au zaidi umekatika bila ya kuonekana humu ndani, Je unadhani ni kwa bahati mbaya?

sidhani, huenda ukimya wao umechangiwa zaidi na dokezo la safari au teuzi za kusifia mamlaka ya keyzimkazy.
Inasemekana bwana maxy melow alipeleka majina ya wasafiri kimya kimya.

watu wanajitafunia keki ya taifa huku wakiwa wamepunguza urefu wa kamba zao.
 
Leo nimechill nasikiliza OST za Hwarang mara nikavutiwa zaidi na OST ya Memorizing a Spell, ikabidi nimfuatilie muimbaji jamaa anajua sana!
Jeon Woosung, hats off!
Geon bae - cheers
miaka ya nyuma nilipokuwa kichaa wa haya madude nilibahatika kusikiliza nyimbo za kundi fulani la muziki nchini korea linaloitwa NOEL.

Baada ya kuweka comment yako jana nikajaribu kumtafuta huyo bwana JONI, nilidhani ni mgeni kwangu kumbe tulishawahi kuonana mitaa ya masikio.

nikaendelea kumchimba huyo bwana ndio nikagundua kumbe huyo bwana ni member wa hilo kundi la NOEL.
nikazamia Spotify ili nisikilize ngoma zao,
ikapigwa ya kwanza ikawa kama inaingia kwenye ubongo,
chuma cha pili, cha tatu nikasema weeeehhhh!!!
mbona haya madude nilishawahi kuyasikiliza mwaka nisioujua.

hawa jamaa wanapiga HIP HOP, R&B, SOUL na BALLAD.
HIP HOP nimewaachia wenyewe, nimetulia tuliii kama mlevi wa kipemba aliyenyimwa attention na wanywa kahawa, nashusha ngoma zao.
Jamaa ni wakali kama pilipili mbuzi

huu wimbo unaukumbuka wapi LEGEND
 
View attachment 3017475
Hao Noel wana ballads kali sana kuna moja inaitwa Unhateable dah mashairi yake acha tu halafu kuna track yao ya mwaka huu inaitwa Our Youth ni nzuri sana
 
Namaliza episode ya 19 Missing Crown Prince hapa dah nimekuwa heartbroken sana na preview ya finale dogo Dosung kaingia mkumbo kajiunga na mapinduzi

I feel sorry for Myung Yoo pia kaharibiwa future na mzee wake
 
Monster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)

The impossible heir

The midnight studio

Hizi drama sijazielewa too boring
Yah but Kang Ji Hwan mimi pia simuelewagi ukiachana na yeye Monster ni kali sana
 
Monster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)

The impossible heir

The midnight studio

Hizi drama sijazielewa too boring
Monster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)

The impossible heir

The midnight studio

Hizi drama sijazielewa too boring
Leading actor sikumuelewa pia ila yule villain (Mzee Il Jae) huwa namkubali sana akicheza hizo character.
 
Shida ya kuangalia drama nyingi, sioni project yoyote ya kuangalia kwasasa licha ya kuwa na muda na bando. Natamani nifute kila kumbukumbu ili nianze moja.
 
Back
Top Bottom