Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
haikubali inaleta vitu vya ovyoNapendelea kutumia tovuti ya
www.Nkiri.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haikubali inaleta vitu vya ovyoNapendelea kutumia tovuti ya
www.Nkiri.com
Huyo mtoto wa kike nampenda sana ni kama zawadi iliyoletwa kwetu fanboys 2024 moyo uliskip mapigo ndani ya Love Song For Illusiondrama fulani zenye stori nyepesi lakini hazichoshi kuziangalia, hata lile zee la test linaweza kujaribu ladha hizo.
- Queen for seven day
- Grand prince
- 100 day my prince
Usisahau kuongezea MISSING CROWN PRINCE inayoendelea kila siku mbili za mwisho za wiki.
wapo wanaovutiwa na EXO Suho, mzanzibari navutiwa na binti Hong Ye Ji.
Uzuri wote hao ni mara yangu ya kwanza kuwaona kwenye tasnia ya sanaa
Nionyesheni muigizaji mzuri newcomer anayemzidi huyu binti, mimi nitawaonyesha mpemba anayefuga nguruwe.
Binti ana project mbili, zote historical, zote ni mwaka 2024, zote amekuwa muigizaji mkuu wa kike.
Unadhani ni bahati mbaya.
kama rahisi muulizeni dada mchungaji
View attachment 3004749
Bi mkubwa katutenga nilipagawa sana kuona zile gari mpya na mitambo yao Hyundai pamoja na technology ila nikaona not bad naangaliaga kwa drama[emoji16]Wadau, mmemuona Mama Korea? Hatujatendewa haki, ilibidi sisi wadau tunaoijua Korea kindakindaki tuende tukajionee kwa macho Seoul, tukanywe soju tule kimbap na kimchi.
M Z A N Z I B A R I
Halafu sasa walioenda huko hata hawaelewi, sisi tunaojua kila chocho hatujaenda.Bi mkubwa katutenga nilipagawa sana kuona zile gari mpya na mitambo yao Hyundai pamoja na technology ila nikaoma not bad naangaliaga kwa drama[emoji16]
Kwa wanaotazama missing crown prince mnaeza nisaidia jina la wimbo kwenye episode ya 16 pale mwishoni ambapo king alimsuprise crown prince?
Ule wimbo unaopiga wakati unakumbatiana ndo nauhitaji!
Shukrani sana mkuu nimeupataView attachment 3008103
View attachment 3008104
View attachment 3008105
View attachment 3008107
View attachment 3008108
View attachment 3008109
vichwa vimedata
chagua ulio sahihi kati ya hizo
Lady Jay Dee - Usiusemee MoyoWadau, mmemuona Mama Korea? Hatujatendewa haki, ilibidi sisi wadau tunaoijua Korea kindakindaki tuende tukajionee kwa macho Seoul, tukanywe soju tule kimbap na kimchi.
M Z A N Z I B A R I
Geon bae - cheersLeo nimechill nasikiliza OST za Hwarang mara nikavutiwa zaidi na OST ya Memorizing a Spell, ikabidi nimfuatilie muimbaji jamaa anajua sana!
Jeon Woosung, hats off!
Hao Noel wana ballads kali sana kuna moja inaitwa Unhateable dah mashairi yake acha tu halafu kuna track yao ya mwaka huu inaitwa Our Youth ni nzuri sanaGeon bae - cheers
miaka ya nyuma nilipokuwa kichaa wa haya madude nilibahatika kusikiliza nyimbo za kundi fulani la muziki nchini korea linaloitwa NOEL.
Baada ya kuweka comment yako jana nikajaribu kumtafuta huyo bwana JONI, nilidhani ni mgeni kwangu kumbe tulishawahi kuonana mitaa ya masikio.
nikaendelea kumchimba huyo bwana ndio nikagundua kumbe huyo bwana ni member wa hilo kundi la NOEL.
nikazamia Spotify ili nisikilize ngoma zao,
ikapigwa ya kwanza ikawa kama inaingia kwenye ubongo,
chuma cha pili, cha tatu nikasema weeeehhhh!!!
mbona haya madude nilishawahi kuyasikiliza mwaka nisioujua.
hawa jamaa wanapiga HIP HOP, R&B, SOUL na BALLAD.
HIP HOP nimewaachia wenyewe, nimetulia tuliii kama mlevi wa kipemba aliyenyimwa attention na wanywa kahawa, nashusha ngoma zao.
Jamaa ni wakali kama pilipili mbuzi
huu wimbo unaukumbuka wapi LEGEND
View attachment 3017475
Yah but Kang Ji Hwan mimi pia simuelewagi ukiachana na yeye Monster ni kali sanaMonster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)
The impossible heir
The midnight studio
Hizi drama sijazielewa too boring
Yah but Kang Ji Hwan mimi pia simuelewagi ukiachana na yeye Monster ni kali sana
Monster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)
The impossible heir
The midnight studio
Hizi drama sijazielewa too boring
Leading actor sikumuelewa pia ila yule villain (Mzee Il Jae) huwa namkubali sana akicheza hizo character.Monster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)
The impossible heir
The midnight studio
Hizi drama sijazielewa too boring