Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Hilo tatizo lipo kwangu kwa sasa that's why now nimejikita kwenye ongoing,family na Chinese Dramas za Republication EraShida ya kuangalia drama nyingi, sioni project yoyote ya kuangalia kwasasa licha ya kuwa na muda na bando. Natamani nifute kila kumbukumbu ili nianze moja.