Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimemskiza kuangalia series inaitwa TERRORIST aisee hii series kali sana jspokuwa ni ya zamani

Ndani kuna ma agent kuna ma spy, special force soldiers, mvutano kati ya North na south korea ktk intellijensia,

Kuna ma sniper ndani wakitaka kumdungua raisi pia kuna NSS, NSI bila kusahau ma agent wa Japan, china na Hungary

Mlio wahi kuiona hii series nyoosheni mikono juu
 
Ushauri wangu kwa wadau

Acheni kuchoma bando NETFLIX na kwingineko

Ukizama kwa warusha movie unachukua series yako safi kabisq yenye subtitle kwa jero tu yaani unachofqnya unapunguza sauti unasoma zako subtitle no stress
 
Monster ( hii inno sijui umeipendea nini,lead actor wake huwa simuelewi pia hana lips nzuri za kiss)

The impossible heir

The midnight studio

Hizi drama sijazielewa too boring
Wanawake mnavitu venu mnavyopenda but mimi nimeangalia ukali wa story pamoja na namna wahusika walivyocheza vizuri hii ndio sababu nimeipenda sana hiyo drama
 
Duh bado upo analogy mkuu, digital kuna sehemu nyingi za kudownload series,drama,movies bila kutumia Netflix. Halafu kwann upunguze sauti,raha ya drama sauti kuna vionjo vingi music haunaga cha lugha unapanda hivyo hivyo hata usipoelewa wanachoimba.

Ulimwengu wa digital kuna Wi-fi za kutosha,wale wamakazini wanatumia miseleleko huko,kuna Vpn,kuna bando za cug etc
Ushauri wangu kwa wadau

Acheni kuchoma bando NETFLIX na kwingineko

Ukizama kwa warusha movie unachukua series yako safi kabisq yenye subtitle kwa jero tu yaani unachofqnya unapunguza sauti unasoma zako subtitle no stress
Ushauri wangu kwa wadau

Acheni kuchoma bando NETFLIX na kwingineko

Ukizama kwa warusha movie unachukua series yako safi kabisq yenye subtitle kwa jero tu yaani unachofqnya unapunguza sauti unasoma zako subtitle no stress
 
Nilikua nazikubali sana kazi za huyu bidada kipindi Sijapoteza interest ya kucheki Series.
 
Attachments

  • download (12).jpeg
    download (12).jpeg
    6 KB · Views: 9
Nimemskiza kuangalia series inaitwa TERRORIST aisee hii series kali sana jspokuwa ni ya zamani

Ndani kuna ma agent kuna ma spy, special force soldiers, mvutano kati ya North na south korea ktk intellijensia,

Kuna ma sniper ndani wakitaka kumdungua raisi pia kuna NSS, NSI bila kusahau ma agent wa Japan, china na Hungary

Mlio wahi kuiona hii series nyoosheni mikono juu
Mjomba isijekua unaangalia Iris
 
Kiasi kwamba sioni project ya kushika muda huu, weekend kama hii unabaki kuzurura mtandaoni tu.

Ngoja nirudi Marekani.
Mimi huwa naibia ibia Jdramas japo sivutiwi sana na aina ya uigizaji wao ila huwa wana story nzuri hata wakorea huwa wanarudia baadhi ya series zao.
 
Nimemskiza kuangalia series inaitwa TERRORIST aisee hii series kali sana jspokuwa ni ya zamani

Ndani kuna ma agent kuna ma spy, special force soldiers, mvutano kati ya North na south korea ktk intellijensia,

Kuna ma sniper ndani wakitaka kumdungua raisi pia kuna NSS, NSI bila kusahau ma agent wa Japan, china na Hungary

Mlio wahi kuiona hii series nyoosheni mikono juu
Hii ni unazungumzia IRIS ila ndohivyo umekutana nayo kwenye vibanda umiza.😀
 
Back
Top Bottom