Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Big mouth Inahusiana na jamaa ambaye anajikuta anaingizwa jela kwazaniwa ni big mouth huyu big mouth hakuna mtu aliyewahi kumuona ila ni mtu balaa na anamatukio makubwa na pia anatafutwa na baadhi ya kulingana na misala aliyofanya tofauti tofauti.Kutokana na kuogopwa kwa big mouth kijana asiyekuwa siye anajikuta anauvaa uhusika asioujua.

Worst of evil yenyewe inahusiana na undercover ambaye anapewa mission ya kupeleleza kundi hatari la kiuni hapo mjini so anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na hilo kundi ili awe mmoja wao ili iwe rahisi kuwapeleleza.
Asante mkuu ngoja nizitafute.
 
The tyrant
Ingawa ina kiza ila such a master piece, new girlcrush kwa industry… nashindwa kumchukulia kim seon ho serious na zile dimples jaman
 
Leo nimejikuta tu namkumbua the late LEE SUN KYUN, Ile kazi alifanya kwenye drama ya MY mister akiwa pamoja na IU ilikuwa ni exceptional by far. Storyline ya mule kuhusu maisha, ile main OST ni lazima zokupe heartache tu.

So sad jamaa aliamua kujipoteza baada ya kuzongwa sana tuhuma, ile drama ni kama alijiigizia future yake.
 
Kuna mtu humu ndani huwa ananifurahisha sana nikionaga maelezo yake sinaga cha kuongeza nabakia speechless[emoji23][emoji23]

Anyway now naangalia ongoing dramas za tastes zangu kabisa na zote ni weekend

Bad Memory Eraser
Romance In The House
Good Partner
Love Next Door
DNA Lover

Bila kusahau kando Beauty And Mr Romantic na Blackout
 
Sasaiv ndo tunasubir december single inferno?
Nimemis dating variety
My variety list kwa sasa
My name is Gabriel
Jinny’s kitchen
Nimejaribu na the influencer kuna ka S’ kameshaniboa siitazami tena
Na weekly variety
I am solo, running man, king of mask singer na i live alone.
Nataman niongeze list ya variety za vituko vituko
 
N

Nilimjulia humu yeye na IU
Kuna kazi yake moja had nimeshindwa kuitazama, kifo chake kimeniuma jaman.
Wakat huo namchanganya IU na kim taeri
 
Kwasasa inaniwia ngumu sana kuangalia kazi zake, unaangalia huku unajua kabisa kuwa hayupo tena duniani.

IU nilianza kumuona kwenye FAITH nikaja kumuona kwenye Scaret Heart Ryeo (humu aliuvaa sana uhusika) baadae nikamuona kwenye HOTEL DEL laluna kabla sijamuona kwenye hiyo MY MISTER. Kwakweli ni moja kati ya Korean actress ninaowabali sana. Ana nyimbo yake moja inaitwa "LOVE IS ALL" naikubali sana.
 
Sasaiv ndo tunasubir december single inferno?
Nimemis dating variety
My variety list kwa sasa
My name is Gabriel
Jinny’s kitchen
Nimejaribu na the influencer kuna ka S’ kameshaniboa siitazami tena
Na weekly variety
I am solo, running man, king of mask singer na i live alone.
Nataman niongeze list ya variety za vituko vituko
Dating variety nzuri iliisha mwezi uliopita Possessed Love
Now kuna ya wazee wa miaka 50's[emoji23]

Influencer niliichukia kutokana na uwepo wa wale wanaume waliokaa kishoga
 
Kwasasa inaniwia ngumu sana kuangalia kazi zake, unaangalia huku unajua kabisa kuwa hayupo tena duniani.

IU nilianza kumuona kwenye FAITH nikaja kumuona kwenye Scaret Heart Ryeo (humu aliuvaa sana uhusika) baadae nikamuona kwenye HOTEL DEL laluna kabla sijamuona kwenye hiyo MY MISTER. Kwakweli ni moja kati ya Korean actress ninaowabali sana. Ana nyimbo yake moja inaitwa "LOVE IS ALL" naikubali sana.
Ni Love Wins All
 
Kuna mtu humu ndani huwa ananifurahisha sana nikionaga maelezo yake sinaga cha kuongeza nabakia speechless[emoji23][emoji23]

Anyway now naangalia ongoing dramas za tastes zangu kabisa na zote ni weekend

Bad Memory Eraser
Romance In The House
Good Partner
Love Next Door
DNA Lover

Bila kusahau kando Beauty And Mr Romantic na Blackout
Nishamjua huyo mtu
 
Possessed love niliitazama ile kapo ya kucheka cheka ya ma shaman sijaikubal ila wenye hawana habari
I yul na small hana ndo my favourite ingawa i yul alimpenda sana lakin kiukwel nilipenda alivyoweka mipaka ya kutoku mpressure

Ya wazee ndo dolsing jaman
Sasa hujui utam wa hiyo
Kuna ya mwaka jana jerome na benita mpaka sasa bado ipo (jerome alikua mume wa yule choreographer maaruf wa korea, Bae yunjin sijui)na nyingine jimmy na hyejin wanafunga ndoa, ya mwaka huu sijatizama watu wanasema ile subtitle haijakaa poa. Ila nzuri
 
Kwasasa inaniwia ngumu sana kuangalia kazi zake, unaangalia huku unajua kabisa kuwa hayupo tena duniani.

IU nilianza kumuona kwenye FAITH nikaja kumuona kwenye Scaret Heart Ryeo (humu aliuvaa sana uhusika) baadae nikamuona kwenye HOTEL DEL laluna kabla sijamuona kwenye hiyo MY MISTER. Kwakweli ni moja kati ya Korean actress ninaowabali sana. Ana nyimbo yake moja inaitwa "LOVE IS ALL" naikubali sana.
Iu nilidownload sijui album nzima
Nakumbuka nilikua nasikiliza kila siku
Nyimbo zake nyingi nimejua kupitia masked singer
 
Leo nimejikuta tu namkumbua the late LEE SUN KYUN, Ile kazi alifanya kwenye drama ya MY mister akiwa pamoja na IU ilikuwa ni exceptional by far. Storyline ya mule kuhusu maisha, ile main OST ni lazima zokupe heartache tu.

So sad jamaa aliamua kujipoteza baada ya kuzongwa sana tuhuma, ile drama ni kama alijiigizia future yake.
Ni huzuni kwakweli lakini msongo wa mawazo mara nyingi huambatana na kucommit suicide sijui zile tuhuma zilikuwa za kweli au la mana wakorea...

My mister inabaki kuwa drama bora sana na huyu idol IU hivi ni anajua sana au ana bahati ya kutokea kwenye drama bora? ikiwemo ya

Moon lovers: Scarlet heart Ryeo
My mister
Hotel de Luna
Dream(Movie)
 
Hii "The whirlwind" ukisoma synopsis yake inakuleta kwenye drama kama "3 days" ila nimemaliza episode one naona kama imepoa sana.

Kuna yoyote ambaye amemaliza episodes zote 12 anipe feedback, kabla sijaendelea kupoteza data zangu.?
 
Huyu dogo karibu kila drama niliyotzama akiwemo lazima apate Misala [emoji2]
images%20(19).jpg
 
Kumbe "Tree with deep root" ni kama mwendelezo wa Six flying dragon ? maana Niko episode ya pili nimeianza .
 
Back
Top Bottom