UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Asante mkuu ngoja nizitafute.Big mouth Inahusiana na jamaa ambaye anajikuta anaingizwa jela kwazaniwa ni big mouth huyu big mouth hakuna mtu aliyewahi kumuona ila ni mtu balaa na anamatukio makubwa na pia anatafutwa na baadhi ya kulingana na misala aliyofanya tofauti tofauti.Kutokana na kuogopwa kwa big mouth kijana asiyekuwa siye anajikuta anauvaa uhusika asioujua.
Worst of evil yenyewe inahusiana na undercover ambaye anapewa mission ya kupeleleza kundi hatari la kiuni hapo mjini so anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na hilo kundi ili awe mmoja wao ili iwe rahisi kuwapeleleza.