Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wiki iliyopita nilitafuta romantic K drama nikakosa inabidi niende kwenye C drama nikakutana na Only for Love ndani Kuna Dylan Wang na Bai Lui ki ukweli nimeenjoy.
 
Thanks, nimeshaijaribu.
Kuna option zimekuwa unlocked lakini option ya download imekosekana
Okay, mie huwa natumia deezloder kupakua nyimbo zilizopo Deezer to the device storage. So huwa sihitaji zaidi premium account. Kwahiyo huko huwa na stream kwa ajili ya podcasts basi.
 
Screenshot_20240902_205421_Chrome.jpg

Politics zimewapeleka watu kwa wazee wa mashuka
 
Niliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
 
H

Hayo ndo maendeleo Mkuu
Nadhan angalau kwenye korea khitan war ile scene ili make sense kwakua walikua wanatafuta mrithi

Ila queen woo na nudity nyingi alfu wanarudia rudia, sema ina ka story katam
 
Nimetizama The frog
Niko ep ya tatu yan nikama najiandaa kutizama kitu kitokee na hakifik alaf inavyosifiwa, kweli niimalizie wadau
 
Back
Top Bottom